Waendesha vyombo vya moto especially bodaboda(100%) ,bajaji(100%) na daladala(60%) wapewe elimu ya kuendesha hivyo vyombo ,% nilizoweka hapo wanahitaji full elimu ya barabarani ,wengi hawajui sheria za barabarani ,wao wanachojua kuwasha kuweka gia ,kunyoosha sterling na kuwasha hazard tu.Kwa mamlaka husika LATRA na wasaidizi wake likiwemo jeshi la polisi lenye mamlaka ya kulinda na kuhifadhi mali za raia, wameshindwa vipi kuvidhibiti vyombo hivi tajwa haswa katikati ya jiji na viunga vyake. Maana tukiachilia mbali ajali tunazo ziona kila siku barabrani vijana wengi kuumia na kupoteza maisha ila pia wamekua na kero kubwa sana kwa vyombo vingine na watumiaji wengine wa barabara.
Ningeshauri mamlaka husika kuweka taratibu kama ilivyo kwenye mabus ya abiria basi kuwe na idadi maamulu ya vyombo hivo kuingia mjini au mipaka yao ili kuzuia kero nyingi kwa wanachi wengine. Pia kwa waendesha vyombo hivo hususani vijana kama ni ajira wamejiajiri wachukulie umuhimu wa kazi zao kwa kufata sheria stahiki za barabarani.
Pale Lugalo kuna eneo kubwa tu la Wamachinga kupanga biashara na kujipatia ridhiki. Mbona hawapangi?Wajinga kama serikali yenu
Unataka hao vijana wakale wapi au sababu wewe umeshiba wenzio walale njaa
Solution ni kuwapa hao vijana kazi kama utawaona kwenye bodaboda
Kama rahisi acha mishe zako kapange wewePale Lugalo kuna eneo kubwa tu la Wamachinga kupanga biashara na kujipatia ridhiki. Mbona hawapangi?
Tuache kuvunja sheria in the name of tunatafuta ridhiki.
Zinapark mita 300 kutoka State House.Bajaji siku hizi zinafika mjini? Na je zinapakia abiria kama daladala?
Hizo za karibu na junba jeupe huwa zaenda wapiZinapark mita 300 kutoka State House.
Ndio. Zimejaa njia ya Tegeta-Posta.Bajaji siku hizi zinafika mjini? Na je zinapakia abiria kama daladala?
Kariakoo,Buguruni,TegetaHizo za karibu na junba jeupe huwa zaenda wapi
Mi naona ni sawa jamaa dar ina shida mno ya usafiri hii itafanya angalau watu wasafiri kistaarabu mambo ya kugombania mabasi yanakera mnoKariakoo,Buguruni,Tegeta
Ni kama dala dala tu zinapakia na kushusha mahali popoteBajaji siku hizi zinafika mjini? Na je zinapakia abiria kama daladala?
Sahihi kabisa nadhani upatikanaji wa leseni pia umekua rahisi watu wanapata bila kupitia driving schoolsWaendesha vyombo vya moto especially bodaboda(100%) ,bajaji(100%) na daladala(60%) wapewe elimu ya kuendesha hivyo vyombo ,% nilizoweka hapo wanahitaji full elimu ya barabarani ,wengi hawajui sheria za barabarani ,wao wanachojua kuwasha kuweka gia ,kunyoosha sterling na kuwasha hazard tu.
Inasikitisha yaani mimi natumia huo usafiri nikiwa town ,yaani wengi ni weupe peeee ,mimi ndiyo nawaelekeza sheria za barabarani yaani hawajui kabisa hadi unajiuliza huyu jamaa mbona anajiendea tu bila kufuata sheria za barabarani? Yupo kwenye two lanes(same direction) halafu unaliona limeganda kulia linatembea na speed ya kobe....Namwambia ebwana ebu angalia kwanza usalama wako kisha rudi kushoto ,ukiganda kulia unaweza kusababisha ajali ,ukiwa kwenye hizi barabara kwa usalama wako kaa kushoto then una overtake kulia then unarudi tena kushoto.Ni kama dala dala tu zinapakia na kushusha mahali popote
Sahihi kabisa nadhani upatikanaji wa leseni pia umekua rahisi watu wanapata bila kupitia driving schools
Hatari sanaKwa mamlaka husika LATRA na wasaidizi wake likiwemo jeshi la polisi lenye mamlaka ya kulinda na kuhifadhi mali za raia, wameshindwa vipi kuvidhibiti vyombo hivi tajwa haswa katikati ya jiji na viunga vyake. Maana tukiachilia mbali ajali tunazo ziona kila siku barabrani vijana wengi kuumia na kupoteza maisha ila pia wamekua na kero kubwa sana kwa vyombo vingine na watumiaji wengine wa barabara.
Ningeshauri mamlaka husika kuweka taratibu kama ilivyo kwenye mabus ya abiria basi kuwe na idadi maamulu ya vyombo hivo kuingia mjini au mipaka yao ili kuzuia kero nyingi kwa wanachi wengine. Pia kwa waendesha vyombo hivo hususani vijana kama ni ajira wamejiajiri wachukulie umuhimu wa kazi zao kwa kufata sheria stahiki za barabarani.
kuna kamanda wa polisi upande wa trafiki walikua wanahojiwa siku mbili hizi na media moja(jina sikumbuki maana ilikua fastafasta) makamanda wamesema bodaboda hawajawashinda wakiamua.Ningeshauri mamlaka husika kuweka taratibu kama ilivyo kwenye mabus ya abiria basi kuwe na idadi maamulu ya vyombo hivo kuingia mjini au mipaka yao ili kuzuia kero nyingi kwa wanachi wengine. Pia kwa waendesha vyombo hivo hususani vijana kama ni ajira wamejiajiri wachukulie umuhimu wa kazi zao kwa kufata sheria stahiki za barabarani.
moja ya sifa ya binadamu ni ubinafsi.kuwe na idadi maamulu ya vyombo hivo kuingia mjini