Tanzanianiano
Member
- Sep 1, 2019
- 11
- 17
Akifika Harare kuna basi pale mpaka joziJe, usafiri huu upo maana siku hizi naona basi zinafika lubumbashi na harare pekee
Kituo cha mabasi yaendayo harare kipo buguruni. Akifika huko atapata taarifa zaidiAkifika Harare kuna basi pale mpaka jozi
Thank you MkuuKituo cha mabasi yaendayo harare kipo buguuruni. Akifika huko atapata taarifa zaidi
Asante sana mkuu, You are the best aisee..Nimewahi kusafiri Mara nyingi mno ktk route hiyo miaka ya nyuma, kutokana na uzoefu wangu naweza nikasema haya yafuatayo:
1. Route ya Dsm-Tunduma-Lusaka-Harare-Johannesburg: Route hii ni bora zaidi.
Siku za safari ni NNE(4), siku 1 ni ya kusafiri usiku na mchana hakuna kulala
Nauli(Viwango na Mapendekezo)
Dsm- Lusaka-Harare(moja KWA moja): Tshs 150,000/= hadi 160,000/=
Dsm-Lusaka:Tshs: 130,000/= hadi 140,000/=
Kampuni ya mabasi ni Taqwa ya Tz.
Tunduma/Nakonde boarder to Lusaka: Kwacha 300
NB: Nauli ya Dsm- Tunduma: not included here.
Makampuni ya Mabasi ni Power Tool, ya Zambia
2.Lusaka-Harare-Johannesburg route
NB: Nauli KWA route hii Unaweza ikawa KWA fedha za Zambia(Kwacha) au za Afrika Kusini(Rand): zingatia sana jambo hili.
Ushauri wa bure: Kutokana na exchange rates ni vyema ukatumia Rand za South Africa, ukitumia Kwacha utalipa zaidi.
Nauli: Lsk-Harare-Joburg: Rand(ZAR) 900 hadi ZAR 1000
Kampuni zipo nyingi za Mabasi, lakini ilivyo bora Zaidi ni
ACK Logistics Company Ltd, kampuni ya Zambia
(the best customer care inside, and the highest quality buses in Zambia) with toilets inside.
NB: tembelea website yao KWA ratiba za safari
Harare- Johannesburg route
Nauli ni kwa Rands (ZAR)
Bei zinatofautiana kulingana na ubora wa Mabasi na huduma
Luxury buses
Nauli ni ZAR 350 hadi ZAR 500
Makampuni ya buses: CitiLiner, Eagle Liner, Sky Liner, Trans Lux, etc
NB: No toilets inside
Super Luxury Buses:
Makampuni ya Mabasi ni:
Greyhound na Intercape, yote ya Afrika Kusini.
The highest and the best customer care inside, the safety is guaranteed, toilet inside,
Nauli ni kuanzia Rands (ZAR) 600 na kuendelea, nauli inaongezeka kadiri ya muda wa safari unavyokaribia, ukikata ticket mapema utalipa kidogo kama ilivyo ktk usafiri wa ndege.
NB: Safari zote kutoka Harare to Jo'burg zinaanza SAA 1:00 jioni
They are very strictly about time like an airplane flights
Tahadhari: Usipitie nchi ya Msumbiji, Maaskari Polisi na Maafisa Uhamiaji wa Msumbiji ni Wasumbufu sana tena wana roho mbaya sana, wanapenda sana rushwa, unless kama una Passport ya Kidiplomasia au Una Kitambulisho cha Kazi cha Mashirika ya Kimataifa eg UN.Vile vile, hawako friendly na barabara zao ni mbaya sana.Japokuwa Mimi sijawahi kuwa muhanga wa masaibu hayo ktk safari zangu zote, lakini nimekuwa nikiwashuhudia Watanzania mwenzangu wakipata misukosuko ktk safari zao.
Pia, hawajui kuongea Kiingereza, wala Kiswahili isipokuwa Kireno tu.
Ukiwa na hoja nyingine yoyote, au ukitaka maelezo zaidi hata ukitaka maelezo kuhusiana na usafiri wa ndege kwa route hiyo, usisite kuwasilisha hoja zako kwangu.
Maelezo yangu nafikiri yatakusaidia KWA kiasi Fulani ktk mipango yako, nakutakia safari njema
Asante sana mkuu, You are the best aisee..
Maelezo yako yanajitosheleza an yamenisaidia sana. Vitu vingi sana sivifahamu kwasababu ndio itakuwa safari yangu ya kwanza. Kama kuna issue nyingine ntauliza mkuu
Mungu akubariki ndugu yangu. Utakua umewasaidia wengi watakao soma nyuzi huu.Okay, thanks.
Lakini pia chukua tahadhari na ufanye tathmini juu ya Usalama ktk safari yako unapofika Harare Zimbabwe, wakati mwingine huwa zinatokea "rabsha za kisiasa" ambazo huwa zinatokea ghafla tu jijini Harare, na ku-interupt mwenendo mzima wa safari.Maandamano ya wananchi jijini Harare yanaweza kufanyika ghafla tu ktk jiji hilo.Niliwahi kukumbana na kadhia kama hii.
Ngoja na mimm ni plan adventure ya kwenda Cape Town kwa basi. Thanks mkuu kwa maelezoNimewahi kusafiri Mara nyingi mno ktk route hiyo miaka ya nyuma, kutokana na uzoefu wangu naweza nikasema haya yafuatayo:
1. Route ya Dsm-Tunduma-Lusaka-Harare-Johannesburg: Route hii ni bora zaidi.
Siku za safari ni NNE(4), siku 1 ni ya kusafiri usiku na mchana hakuna kulala
Nauli(Viwango na Mapendekezo)
Dsm- Lusaka-Harare(moja KWA moja): Tshs 150,000/= hadi 160,000/=
Dsm-Lusaka:Tshs: 130,000/= hadi 140,000/=
Kampuni ya mabasi ni Taqwa ya Tz.
Tunduma/Nakonde boarder to Lusaka: Kwacha 300
NB: Nauli ya Dsm- Tunduma: not included here.
Makampuni ya Mabasi ni Power Tool, ya Zambia
2.Lusaka-Harare-Johannesburg route
NB: Nauli KWA route hii Unaweza ikawa KWA fedha za Zambia(Kwacha) au za Afrika Kusini(Rand): zingatia sana jambo hili.
Ushauri wa bure: Kutokana na exchange rates ni vyema ukatumia Rand za South Africa, ukitumia Kwacha utalipa zaidi.
Nauli: Lsk-Harare-Joburg: Rand(ZAR) 900 hadi ZAR 1000
Kampuni zipo nyingi za Mabasi, lakini ilivyo bora Zaidi ni
ACK Logistics Company Ltd, kampuni ya Zambia
(the best customer care inside, and the highest quality buses in Zambia) with toilets inside.
NB: tembelea website yao KWA ratiba za safari
Harare- Johannesburg route
Nauli ni kwa Rands (ZAR)
Bei zinatofautiana kulingana na ubora wa Mabasi na huduma
Luxury buses
Nauli ni ZAR 350 hadi ZAR 500
Makampuni ya buses: CitiLiner, Eagle Liner, Sky Liner, Trans Lux, etc
NB: No toilets inside
Super Luxury Buses:
Makampuni ya Mabasi ni:
Greyhound na Intercape, yote ya Afrika Kusini.
The highest and the best customer care inside, the safety is guaranteed, toilet inside,
Nauli ni kuanzia Rands (ZAR) 600 na kuendelea, nauli inaongezeka kadiri ya muda wa safari unavyokaribia, ukikata ticket mapema utalipa kidogo kama ilivyo ktk usafiri wa ndege.
NB: Safari zote kutoka Harare to Jo'burg zinaanza SAA 1:00 jioni
They are very strictly about time like an airplane flights
Tahadhari: Usipitie nchi ya Msumbiji, Maaskari Polisi na Maafisa Uhamiaji wa Msumbiji ni Wasumbufu sana tena wana roho mbaya sana, wanapenda sana rushwa, unless kama una Passport ya Kidiplomasia au Una Kitambulisho cha Kazi cha Mashirika ya Kimataifa eg UN.Vile vile, hawako friendly na barabara zao ni mbaya sana.Japokuwa Mimi sijawahi kuwa muhanga wa masaibu hayo ktk safari zangu zote, lakini nimekuwa nikiwashuhudia Watanzania mwenzangu wakipata misukosuko ktk safari zao.
Pia, hawajui kuongea Kiingereza, wala Kiswahili isipokuwa Kireno tu.
Ukiwa na hoja nyingine yoyote, au ukitaka maelezo zaidi hata ukitaka maelezo kuhusiana na usafiri wa ndege kwa route hiyo, usisite kuwasilisha hoja zako kwangu.
Maelezo yangu nafikiri yatakusaidia KWA kiasi Fulani ktk mipango yako, nakutakia safari njema
Duh.. Asante sana mkuu. Unaonekana ni traveller kweli. May God bless uOkay, thanks.
Lakini pia chukua tahadhari na ufanye tathmini juu ya Usalama ktk safari yako unapofika Harare Zimbabwe, wakati mwingine huwa zinatokea "rabsha za kisiasa" ambazo huwa zinatokea ghafla tu jijini Harare, na ku-interupt mwenendo mzima wa safari.Maandamano ya wananchi jijini Harare yanaweza kufanyika ghafla tu ktk jiji hilo.Niliwahi kukumbana na kadhia kama hii.
Sure.. Maelezo yapo very clearMungu akubariki ndugu yangu. Utakua umewasaidia wengi watakao soma nyuzi huu.
Short n clear n well understood... Nilikuwa napanga siku moja wakat naenda jozi nichague barabara ila kwa jibu lako ushauri nmeupokeaNimewahi kusafiri Mara nyingi mno ktk route hiyo miaka ya nyuma, kutokana na uzoefu wangu naweza nikasema haya yafuatayo:
1. Route ya Dsm-Tunduma-Lusaka-Harare-Johannesburg: Route hii ni bora zaidi.
Siku za safari ni NNE(4), siku 1 ni ya kusafiri usiku na mchana hakuna kulala
Nauli(Viwango na Mapendekezo)
Dsm- Lusaka-Harare(moja KWA moja): Tshs 150,000/= hadi 160,000/=
Dsm-Lusaka:Tshs: 130,000/= hadi 140,000/=
Kampuni ya mabasi ni Taqwa ya Tz.
Tunduma/Nakonde boarder to Lusaka: Kwacha 300
NB: Nauli ya Dsm- Tunduma: not included here.
Makampuni ya Mabasi ni Power Tool, ya Zambia
2.Lusaka-Harare-Johannesburg route
NB: Nauli KWA route hii Unaweza ikawa KWA fedha za Zambia(Kwacha) au za Afrika Kusini(Rand): zingatia sana jambo hili.
Ushauri wa bure: Kutokana na exchange rates ni vyema ukatumia Rand za South Africa, ukitumia Kwacha utalipa zaidi.
Nauli: Lsk-Harare-Joburg: Rand(ZAR) 900 hadi ZAR 1000
Kampuni zipo nyingi za Mabasi, lakini ilivyo bora Zaidi ni
ACK Logistics Company Ltd, kampuni ya Zambia
(the best customer care inside, and the highest quality buses in Zambia) with toilets inside.
NB: tembelea website yao KWA ratiba za safari
Harare- Johannesburg route
Nauli ni kwa Rands (ZAR)
Bei zinatofautiana kulingana na ubora wa Mabasi na huduma
Luxury buses
Nauli ni ZAR 350 hadi ZAR 500
Makampuni ya buses: CitiLiner, Eagle Liner, Sky Liner, Trans Lux, etc
NB: No toilets inside
Super Luxury Buses:
Makampuni ya Mabasi ni:
Greyhound na Intercape, yote ya Afrika Kusini.
The highest and the best customer care inside, the safety is guaranteed, toilet inside,
Nauli ni kuanzia Rands (ZAR) 600 na kuendelea, nauli inaongezeka kadiri ya muda wa safari unavyokaribia, ukikata ticket mapema utalipa kidogo kama ilivyo ktk usafiri wa ndege.
NB: Safari zote kutoka Harare to Jo'burg zinaanza SAA 1:00 jioni
They are very strictly about time like an airplane flights
Tahadhari: Usipitie nchi ya Msumbiji, Maaskari Polisi na Maafisa Uhamiaji wa Msumbiji ni Wasumbufu sana tena wana roho mbaya sana, wanapenda sana rushwa, unless kama una Passport ya Kidiplomasia au Una Kitambulisho cha Kazi cha Mashirika ya Kimataifa eg UN.Vile vile, hawako friendly na barabara zao ni mbaya sana.Japokuwa Mimi sijawahi kuwa muhanga wa masaibu hayo ktk safari zangu zote, lakini nimekuwa nikiwashuhudia Watanzania mwenzangu wakipata misukosuko ktk safari zao.
Pia, hawajui kuongea Kiingereza, wala Kiswahili isipokuwa Kireno tu.
Ukiwa na hoja nyingine yoyote, au ukitaka maelezo zaidi hata ukitaka maelezo kuhusiana na usafiri wa ndege kwa route hiyo, usisite kuwasilisha hoja zako kwangu.
Maelezo yangu nafikiri yatakusaidia KWA kiasi Fulani ktk mipango yako, nakutakia safari njema
Na mpaka cape town vp upande huo kwa tunaotarajia kwenda hukoNimewahi kusafiri Mara nyingi mno ktk route hiyo miaka ya nyuma, kutokana na uzoefu wangu naweza nikasema haya yafuatayo:

Nimewahi kusafiri Mara nyingi mno ktk route hiyo miaka ya nyuma, kutokana na uzoefu wangu naweza nikasema haya yafuatayo: