Usafiri wa Bus (luxury) kutoka Dar kwenda Nairobi

Usafiri wa Bus (luxury) kutoka Dar kwenda Nairobi

hakuna luxury basi bongo, wewe kapande tu bus; lakini usitegemee hizo huduma nzuri wala nini...., sana sana utaambulia pipi na soda....!!!!
 
Well, luxury! sikumaanisha tu huduma ya milo, vinywaji.... Hapa namaanisha pia comfortability ya viti, nafasi kati ya kiti na kiti, kuzingatia muda, usalama, etc.....

hakuna luxury basi bongo, wewe kapande tu bus; lakini usitegemee hizo huduma nzuri wala nini...., sana sana utaambulia pipi na soda....!!!!
 
Mimi pia nataka kusafiri kesho kwenda Nairobi 18/ 03/ 2015, naomba pia kujua ni basi gani liko comfortable (Luxury) regardless of fare....
 
Luxury kwa bongo inamaanisha bus zinazoenda polepole na kutobeba abiria ovyo njiani...

Nenda kapande Saibaba lakini..wanajitahidi sana
 
Jamani hiyo safari ni ndefu sana hamuogopi
 
Book mapema FASTJET,DAR-KIA (upate bei poa ya tiketi) halafu pale unapanda SHUTTLE kwenda NAIROBI tena unafika MCHANA kweupeee
 
Back
Top Bottom