Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Je usafiri wa Dar Mtwara ukoje, ni wa uhakika au full kero? Naona tumejikita kwa barabara pekee.
 
Yaani inabaki story kwa kweli.
Halafu unajua Mtwara sio kubwa kiviile enzi hizo, basi ukifanya jambo, unafahamika haraka

Ha ha haaa,,,,,najaribu kuvuta picha wakati unatembeza ubabe na mikogo yakischana af,, wapambe wakumwaga ,,,,,daah,,,Maisha haya watu wanatoka mbali sana,,,! Kwa fulsa zilizopo Mtwara miaka michache ijayo kutakuwa km Mwanza manake Mwanza kwa sasa haina tofauti na DAR,, kumekucha kweli kweli
 
Kweni mabasi ya JM luxury Coach ni ya Kikwete?

kama ni Barabara tunajua kuwa zote zimejengwa na kodi ya wanainchi ile ambayo hubaki baada ya kuchakachuliwa kwa saana na hawa mafisadi wa CCM
Vile nijuavyo ni mabasi ya somebody JOEL MABIBA from Mbeya!
 
Kuna basi moja zuri sana naona wanajamvi hamjabahatika kulipanda...lina huduma bomba sana.....5 ALLIANCE...mtwar-dar-mtwara
 

Aisee ni long kweli.
Yaani nimeshangaa eti nimekuta daladala.....Wakati enzi zetu tunakatiza pori la Lilungu unakuja kutokea magomeni, unakunja Sabasaba....unajivumuzisha mjini.
Mtwara maembe jamani dahhhhh ......
..."Madongo kun'tima"...😛eep:
 

Hahahahah.....yaano nina uhakika kwa mtu aliyekuwa humu kama alikuwa Mtwara miaka hiyo, nikimtajia jina langu atanijua maana ile ishu ya kumteka mwenzetu tulitembezwa karibu ofisi zote za umma.
Ila watu tunatoka mbali jama
 

we unapajua mtwara tena pale mnarani yule mzee mil400mwenyewe hakutaka ila wanawe ndo wakakomalia mpunga ukaingizwa benki
pale kanisa la biblia upande upi wa abdu swamadu?pale kwenye migahawa na kimsikiti k unaelekea mkoani?pembeni kuna gereji ya ng'itu?
au km unaelekea mnarani?
ila bado viwanja baadhi vipo vya bei ya kawaida
jamaa aliyebugi wa blantyre kuuza mil800 yaani yule ndo baas tena
 
Yaani ni full kupigana na watoto wa DSA.
Ila Mtwagiseco sitapasahau,
eti tulikuwa tunawavizia wanafunzi wanaosoma Naliendele halafu tunarushiana mawe kule mikoroshoni....uwanafunzi bhana, tunakuwa kama tumedata

naliendele nao enzi hizo walikua watata sana
 
Andrea Mturi ni mchoraji mzuri sana huyu jamaa,baadae aka okoka baada ya dada yao kufariki na kuwahusia waokoke,wakati huo niko Mtwara tulikua tunapiga sana nondo pale kwa mzee nani sijui jina lime nitoka kwa kina ras bano ligula pale.

andrew ana kaka ake mturi anakaa coco beach anakodishaga mziki mi nilikua nakaa hapa maeneo ya half lonron nyuma ya indian cotaz pale mturi namkubali sana hiyo kampuni yake ya uchoraji iko maeneo ya nangwanda
yaani mtwara rahaa bbaah
 

Kwa Abd swamad pale mdau. Sasa si utaona pale Blantyre million800 je kwa mikoa mingi huwez kupata hizo! Mtwara Kuchele
 
Kwa Abd swamad pale mdau. Sasa si utaona pale Blantyre million800 je kwa mikoa mingi huwez kupata hizo! Mtwara Kuchele

kumbee aisee abdu swamad asingekubali mil200 maana anapesa si anajenga ghorofa huku nyuma ya mnazini anawanunua madiwani kina shilingi kn hana akili nzuri mabo yake yapite
usemayo kweli mil800kwa mjiji mingine ni nyingi sana ila kwa pale watu wanamsikita sana ndogi then eneo ni very potential
 
andrew ana kaka ake mturi anakaa coco beach anakodishaga mziki mi nilikua nakaa hapa maeneo ya half lonron nyuma ya indian cotaz pale mturi namkubali sana hiyo kampuni yake ya uchoraji iko maeneo ya nangwanda
yaani mtwara rahaa bbaah

Yule dogo blazameni flani hivi anaitwa mshamu nayopa yupo?
 
Dah! Afadhali kuendelee maana kuna walozamia mikoa mingine na wamepasahau nyumbani kabisa wala hawatak kurud. Mosh wapo weng

Aisee mekuu.........tufanye na sisi tukatembelee Ntwara.......nilidhani ni sisi tu tunajua lakshari.........mbutananga........uwiiiii........
 
simfahamu ila hilo jina la nayopa nilikua naliskiaskia au mpaka ningemuona

Hivi Bandar Club bado inaoperate? Maana miaka ile viwanja vilikuwa ni La Sindimba Disco- Litingi, Maibras, Bandar Club, Blant yre na Magomeni Club zilikuja baadae. Ila naamin kwa sasa mambo yamechange
 
Hahahahah.....yaano nina uhakika kwa mtu aliyekuwa humu kama alikuwa Mtwara miaka hiyo, nikimtajia jina langu atanijua maana ile ishu ya kumteka mwenzetu tulitembezwa karibu ofisi zote za umma.
Ila watu tunatoka mbali jama

Nimecheka sana,,,,! Hivi ukikutana na washkaji zako mlioSchool pamoja nini kitatokea manake mambo ya Shule yanaambatana na Makuzi yaani daah,,,!
 

Haha haha haha haha haha eti konda wa wifi nae kochi watu mlikuwa mmepinda hadi unamvunja mtu mguu (nguu)? Watu kwa masoo shule ni sheedah. Shuleni kwetu wapo walioiba mchele wa shule km gunia zima stoo kila j2 wakawa wanajipikia wali na mbogamboga wanakula na demu zao. Siku imesanuka walipigwa Kama wameua vile.
 
Last edited by a moderator:

Utukutu ulikuwa mkubwa sana miaka ile ya tisini hasa wakati ule Tambaza imeleta balaa. Wanafunzi walihamishiwa shule tofauti tofauti. Nakumbuka katika tukio moja lakini najua ni utoto, wanafunzi kutoka Dar waliwaza kuiteka meli wakati wanakuja Mtwara Tech. Pia kuna wanafunzi walipanga njama kuuza gari la shirika la posta na simu( enzi zile posta na ttcl kilikuwa ni kitu kimoja) lakini waliishia mikononi mwa polisi. Enzi zile pamoja walikuwa ni wanafunzi na mawazo ya foolish age, lakini walikuwa na mambo mazito kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…