KBOSCO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 376
- 82
aise umeona eeh kweli kizuri chajiuza kibaya chajitembeza, hawa jamaa mi ata cwajui lkn nimetokea kuwa fill kinoma, nilipewa siti ya mwisho kbs dirishani lkn nimefika mtwara km vile nimeenda boing 737 kwa elfu 25 tu
Cjajua ulitumia #JM ipi,mimi nilipanda ile ambayo kuna vijana wawili as conductors. Suka wake (dreva) ni msela flan simple tu na mwenye #busara na #mstaarabu kweli . hadi raha. Kesho yake nilitamani nipande #JM hiyohiyo dar-mbeya. sema nikakuta seat nzuri za mbele zmeisha kwani za nyuma nisngekaa coz naumwa mguu na nilikuwa huko #ndanda hospital.
Wale jamaa hata wasipogawa chochote,mi naweza ridhika coz YOUTONG zao bado zko myuuuuuuu!!
Raha kweli.