Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Asante sana. Naomba kufahamu yafuatayo:
Nauli Dar Masasi ni kiasi gani? Hakuna basi la moja kwa moja hadi Ndanda? Je, safari ya Masasi
Asante sana. Naomba kufahamu yafuatayo:
Nauli Dar Masasi ni kiasi gani? Hakuna basi la moja kwa moja hadi Ndanda? Je, safari ya Dar Masasi inatumia muda gani? Saa ngapi?
Ni mara yangu ya kwanza, natamani kusafiri mchana. Mabasi yapo?
Nakaribisha maelezo ya nyongeza ili kufanikisha safari hii.
 
Hapana, sio mimi mkuu
Utakuwa ni wa kitambo sana, maana kama ukiishi karibu na kwa Msaki basi utakuwa ukiishi kati ya zile kota mbili kutokea kwa Mzee Kazimoto hadi kufika hapo kwa Msaki, eneo lile ndipo palikuwa na mwembe mkubwa sana. Pale kwa mbele kuna familia ya Mzee Okello.
 
Hiyo route ni ndefu sana, basi zote ni lazima zifike masasi maana ukitoka ndanda ndiyo unaingia masasi dc. Kuhusu muda, jaribu kuangalia kwenye google maps.
 
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.

Kilichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.

Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.
Zamani kulikuwa na meli ya kwenda Mtwara, kwa nini hakuna usafiri wa meli kati ya Dar na Tanga na Dar na Mtwara?
 
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.

Kilichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.

Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.
Tutamkumbuka sana Kikwete.
 
Utakuwa ni wa kitambo sana, maana kama ukiishi karibu na kwa Msaki basi utakuwa ukiishi kati ya zile kota mbili kutokea kwa Mzee Kazimoto hadi kufika hapo kwa Msaki, eneo lile ndipo palikuwa na mwembe mkubwa sana. Pale kwa mbele kuna familia ya Mzee Okello.
Mimi niliishi huku kota za TRA, huku barabara ya kuelekea chuo cha Mtwara TTC, huku mwishoni kabisa.
Karibu na kwa Baba Hanifa.
 
Dooh, nimekufananisha na yule dada mwingine. Huyo baba Hanifa ndiyo simpati ila kwa maeneo yale, kijana mwembamba wa kuitwa Saidi siyo yule ana sura kama Kanyewest, mzee wake alikuwa TRA.
 
Ndio huyo Said sasa.
Alipokuwa anakaa ndio hapo kwa baba yake alikuwa mfanyakazi wa TRA....baba Hanifa.
Nyumba yao ilikuwa inaangaliana na nyumba ya kina Rehema yenye vigae, ndani ya fence yao walikuwa na mbwa wa rangi mbili pamoja na mti mkubwa wa mzambarau na mipapai.
 
Wazee wa Mtwara enzi hizo... Kuna group la vijana wa Ligula mukwende huko pia
 
Asante sana. Naomba kufahamu yafuatayo:
Nauli Dar Masasi ni kiasi gani? Hakuna basi la moja kwa moja hadi Ndanda? Je, safari ya Masasi
Sikia nauli toka Dar mpaka Ndanda haizidi elfu 30 na huenda ukatozwa nauli ya Masasi ambayo nafikiri haizidi elfu 35. Ndanda ni njiani, hivyo bus zote za Masasi zinapita hapo Ndanda.

Usipate shida Nenda Mbagala au Temeke Bus zinaanzia saa 12 asubuhi mpaka za usiku zipo.

Ukifika Ndanda usisahau kwenda na Chinongwe ukawasalimie huko
 
Kama mfuko wako upo vizuri kwea pipa tu hadi Mtwara then pale ndo uende Ndanda, bei ya pipa ni elfu 90 tu
 
Ndio huyo Said sasa.
Alipokuwa anakaa ndio hapo kwa baba yake alikuwa mfanyakazi wa TRA....baba Hanifa.
Nyumba yao ilikuwa inaangaliana na nyumba ya kina Rehema yenye vigae, ndani ya fence yao walikuwa na mbwa wa rangi mbili pamoja na mti mkubwa wa mzambarau na mipapai.
Eneo lile nilianza kufika kwa ukaribu mwaka 2007, nahisi huyo mzee alikuwa amehamishwa kikazi maana nyumba nilikuta amebaki Saidi tu na wahuni fulani mmoja wapo akiitwa Wakutesa. Nyumba yenye mti mkubwa na mipapai hadi mwaka huo itakuwa bustani ilishakufa, na nyumba yenyewe nahisi ina muundo tofauti na zile wakizokaa wakina Saidi.

Vipi nikupe mawasiliano ya Kanyewest?.
 
Sisi tulihama zile kota baada ya baba kuhamishwa kikazi na kupelekwa Sirari mwaka 2004.

Ndio, nyumba ya kina Rehema ilikuwa na muundo mwingine tofauti na hizi za upande huu wa kwetu.

Hebu nipatie namba yake jamani, kitambo sanaaaaaa!!!

Dah!! Kweli milima haikutani.
 
Eneo lile nilianza kufika kwa ukaribu mwaka 2007, nahisi huyo mzee alikuwa amehamishwa kikazi maana nyumba nilikuta amebaki Saidi tu na wahuni fulani mmoja wapo akiitwa Wakutesa. Nyumba yenye mti mkubwa na mipapai hadi mwaka huo itakuwa bustani ilishakufa, na nyumba yenyewe nahisi ina muundo tofauti na zile wakizokaa wakina Saidi.

Vipi nikupe mawasiliano ya Kanyewest?.
Saidi Mbelenje na Halima Mbelenje hawa ama
 
Mbelenje si familia ipo pale mitaa ya Ligula-mbelenje wakitoa elimu ya madrasa. Saidi huyu wa kwenye comment ni kijana wa kota za TRA pale mbuyuni dukani kwa Mzee Hamisi (Duka la Chini).
 
Chin
Sikia nauli toka Dar mpaka Ndanda haizidi elfu 30 na huenda ukatozwa nauli ya Masasi ambayo nafikiri haizidi elfu 35. Ndanda ni njiani, hivyo bus zote za Masasi zinapita hapo Ndanda.

Usipate shida Nenda Mbagala au Temeke Bus zinaanzia saa 12 asubuhi mpaka za usiku zipo.

Ukifika Ndanda usisahau kwenda na Chinongwe ukawasalimie huko
Chinongwe ni wapi? Umbali gani kutoka Ndanda? Kuna nini?
 
Back
Top Bottom