E Epa Bes Member Joined Oct 2, 2017 Posts 5 Reaction score 0 Sep 5, 2019 #1 Habarin ndugu, samahani kwa mwenye ufahamu kuhusu upatikanaji wa usafiri wa IT namomba tujulishane Hususani Dar-Mbeya asanteni
Habarin ndugu, samahani kwa mwenye ufahamu kuhusu upatikanaji wa usafiri wa IT namomba tujulishane Hususani Dar-Mbeya asanteni
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Sep 5, 2019 #2 Nenda ubungo chukua hakuna kulala au private
E Epa Bes Member Joined Oct 2, 2017 Posts 5 Reaction score 0 Sep 5, 2019 Thread starter #3 Asante, Scars Ndio nazipataje hizo
kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 3,668 Reaction score 9,809 Sep 5, 2019 #4 Nenda ubungo maji pale karibu na tanesco zipo gari kibao unachagua ukishindwa sogea hadi mbezi kituo utapata
Nenda ubungo maji pale karibu na tanesco zipo gari kibao unachagua ukishindwa sogea hadi mbezi kituo utapata
leloic JF-Expert Member Joined Apr 6, 2013 Posts 1,006 Reaction score 2,720 Sep 5, 2019 #5 Embu nitoe tongotongo apoo Usafiri wa IT ndo kitu gani mkuu!??
E Epa Bes Member Joined Oct 2, 2017 Posts 5 Reaction score 0 Sep 5, 2019 Thread starter #6 Gari mpya zinazopelekwa mkoani au malaw,zambia ssa madereva wake ndio huwa wanachukua na abiria nasikia ni nzur kama una haraka...mm nna huitaj sijui napataje
Gari mpya zinazopelekwa mkoani au malaw,zambia ssa madereva wake ndio huwa wanachukua na abiria nasikia ni nzur kama una haraka...mm nna huitaj sijui napataje
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,117 Sep 5, 2019 #7 Roho mkononi