Usafiri wa IT upatikanaji Dar-Mbeya

Usafiri wa IT upatikanaji Dar-Mbeya

Epa Bes

Member
Joined
Oct 2, 2017
Posts
5
Reaction score
0
Habarin ndugu, samahani kwa mwenye ufahamu kuhusu upatikanaji wa usafiri wa IT namomba tujulishane Hususani Dar-Mbeya asanteni
 
Nenda ubungo chukua hakuna kulala au private
 
Nenda ubungo maji pale karibu na tanesco zipo gari kibao unachagua ukishindwa sogea hadi mbezi kituo utapata
 
Embu nitoe tongotongo apoo

Usafiri wa IT ndo kitu gani mkuu!??
 
Gari mpya zinazopelekwa mkoani au malaw,zambia ssa madereva wake ndio huwa wanachukua na abiria nasikia ni nzur kama una haraka...mm nna huitaj sijui napataje
 
Back
Top Bottom