Usafiri wa kutumia ungo upo wa aina nyingi

Usafiri wa kutumia ungo upo wa aina nyingi

536628_390412344345009_779945728_n.jpg



JINI CLAUNECK;
Jini huyu ana Nguvu na Mamlaka juu ya Vitu na Utajiri,
Anaweza Kuvumbua Hazina iliyofichwa, kwa yeyote atakayeweka Mkataba nae,
Ana uwezo wa Kumzawadia Mtu Utajiri mkubwa kwani yeye anapendwa sana na Lucifer,
Ana uwezo wa kukuletea Pesa kutoka mbali,
Mtii naye atakutii!

Je unahitaji kuzungumza nae
nimtii...?
 
Hii kama ipo ni aina ya sayansi. Lakini miafrika kwa roho zao chafu wanaitumia tu kwa kudhuru wengine. Angeipata Mzungu angekwishafika mbingu ya tano!
 
Bado naitafakari sana dhana nzima ya ushirikina!
 
natamani siku moja nitumie huo usafiri japo kwa nia njema ya kuwahi kwenye mihangaiko yangu
 
Me huwa nashangaa, inakuaje wachawi wanakamatwa? Wanashindwa kuyeyuka dakika O
 
Back
Top Bottom