Tanzania kuna vijana wa Hovyo 😢 😭Nimelia sana 😢 😞
Watu wengi bado hawako awea na treni aidha treni inaondoka 12 asubuhi na 10 jioni hivyo hapa kati mtu yuko busy anataka kuwahi moroTreni vipi kwani au umeme hamna Dar-Moro?
Hujaelewa nini hapo mkuu?Umeandika nn hapa mkuu?
Fedha za chama tawala hizo lakiniMatumizi mabaya ya fedha za umma
Sasa jana ilikuwa zaidi ya weekend kutokana na mabus ya Abood kuwa machache na ujue kuwa Abood ndio King of the Lord Dar moro Moro DarWeekend huwa kuna shida ya usafidi wa Dar Moro vile watu wengi wanasafiri.
Mimi iliwahi nilazimu kukata Shabybi ya Dodoma nikashukia Moro kuokoa muda.
Chama ni mali ya umma ,ndomana vinapata ruzukuFedha za chama tawala hizo lakini
Chama sio mali ya umma, kinapata ruzuku kutokana na sheria za uchaguzi si vinginevyoChama ni mali ya umma ,ndomana vinapata ruzuku
Hahaaaaaa ,changamooChama sio mali ya umma, kinapata ruzuku kutokana na sheria za uchaguzi si vinginevyo
Nimeandika ulichokionaUmeandika nn hapa mkuu?
Panda SGRInasemekana kuwa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo wamekodi mabasi mengi ya kwenda Morogoro kupeleka vijana wengi wakiwamo wanafunzi uwanja wa Taifa kwa Mkapa kwa ajili ya jambo lao la kuhamasisha uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Uchaguzi huo unatarajia kufanyika nchini kote mwishoni mwa mwaka huu
Vijana wengi wamepakiwa kwenye mabasi ya Abood kupelekwa uwanja wa Mkapa na kusababisha uhaba wa mabasi ya kwenda Moro kwenye standing kuu ya Mbezi jijini Darisalama
Shuhuda mmoja ambaye hakutaka kutajwa jina lake aliyefika stand ya Magufuli asubuhi majira ya saa tano alisema amefika hapo Mbezi na kukuta umati mkubwa wa watu wakisubiri usafiri wa kwenda Morogoro
alisema stand ilikuwa nyeupe hakuna mabasi ya kwenda Moro kama vile kipindi cha mwisho wa mwaka cha sikukuu za Chrismass na mwaka mpya
Shuhuda huyo alipotaka kukata tiketi kwenye ma-busi hayo ya Abood waliambiwa na wahusika kuwa mabasi yao mengi leo yamekodiwa hivyo wasubiri mpaka bus likifika kutoka huko walipokodiwa ndio wataanza kupokea fedha na kuwakatia tiketi
Aliongeza kusema kuwa majira ya saa sita mchana likaingia bus moja watu walipanga foleni kugombea tiketi na kwamba ilipofika zamu yake kwenye foleni hiyo aliambiwa bus hilo limejaa asubiri lije lingine ndio wataanza tena kukatisha tiketi nyingine
Alisema alikuja kupata tiketi saa kumi jioni na kuondoka stand hapo saa kumi na nusu huku akiacha umati wa watu wakisubiria mabasi hayo ya Moro mengine yaje
Inasemekana UVCCM leo wamesomba wanafunzi wengi na mabus kuwapeleka uwanja wa Mkapa ili waweze kufanikisha jambo lao na kuonyesha jamii kuwa vijana wengi wanaunga mkono chama hicho
Watu wengi wamehoji kuwa wangefanya kongamano lao hilo siku ya shule wasingepata watu wengi kiasi hicho wamevizia mwishoni mwa wiki wanafunzi hawendi shule ndio wamesomba na mabus kuwapeleka Taifa
Ikumbukwe kuwa mmiliki wa mabus ya Abood Aziz Abood ni kada wa CCM kindakindaki na ndiye mbunge wa Morogoro mjini kupitia chama hicho
Namalizia kwa kusema Comasava UVCCM
Baada ya siku tatu unafika sio mbaliMorogoro hapo tu.
Si unatembea tu.
Sio mbali kabisa.Baada ya siku tatu unafika sio mbali
Inasemekana kuwa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo wamekodi mabasi mengi ya kwenda Morogoro kupeleka vijana wengi wakiwamo wanafunzi uwanja wa Taifa kwa Mkapa kwa ajili ya jambo lao la kuhamasisha uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Uchaguzi huo unatarajia kufanyika nchini kote mwishoni mwa mwaka huu
Vijana wengi wamepakiwa kwenye mabasi ya Abood kupelekwa uwanja wa Mkapa na kusababisha uhaba wa mabasi ya kwenda Moro kwenye standing kuu ya Mbezi jijini Darisalama
Shuhuda mmoja ambaye hakutaka kutajwa jina lake aliyefika stand ya Magufuli asubuhi majira ya saa tano alisema amefika hapo Mbezi na kukuta umati mkubwa wa watu wakisubiri usafiri wa kwenda Morogoro
alisema stand ilikuwa nyeupe hakuna mabasi ya kwenda Moro kama vile kipindi cha mwisho wa mwaka cha sikukuu za Chrismass na mwaka mpya
Shuhuda huyo alipotaka kukata tiketi kwenye ma-busi hayo ya Abood waliambiwa na wahusika kuwa mabasi yao mengi leo yamekodiwa hivyo wasubiri mpaka bus likifika kutoka huko walipokodiwa ndio wataanza kupokea fedha na kuwakatia tiketi
Aliongeza kusema kuwa majira ya saa sita mchana likaingia bus moja watu walipanga foleni kugombea tiketi na kwamba ilipofika zamu yake kwenye foleni hiyo aliambiwa bus hilo limejaa asubiri lije lingine ndio wataanza tena kukatisha tiketi nyingine
Alisema alikuja kupata tiketi saa kumi jioni na kuondoka stand hapo saa kumi na nusu huku akiacha umati wa watu wakisubiria mabasi hayo ya Moro mengine yaje
Inasemekana UVCCM leo wamesomba wanafunzi wengi na mabus kuwapeleka uwanja wa Mkapa ili waweze kufanikisha jambo lao na kuonyesha jamii kuwa vijana wengi wanaunga mkono chama hicho
Watu wengi wamehoji kuwa wangefanya kongamano lao hilo siku ya shule wasingepata watu wengi kiasi hicho wamevizia mwishoni mwa wiki wanafunzi hawendi shule ndio wamesomba na mabus kuwapeleka Taifa
Ikumbukwe kuwa mmiliki wa mabus ya Abood Aziz Abood ni kada wa CCM kindakindaki na ndiye mbunge wa Morogoro mjini kupitia chama hicho
Namalizia kwa kusema Comasava UVCCM
Aina zote za usafiri zinatakiwa kupatikana bila shida kila siku 7/24Panda SGR
Magari kuwa busy ni mafanikio kwa wafanyabiashara
Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
Soma vizuri uelewe kilichoandikwaKwani uvccm hawapo morogoro, mpaka wabebe watu toka mkoa mmoja hadi mwingine? Kama ni hivyo bora mkutano ungefanyika Dar KuSave gharama na usumbufu🤔