Pre GE2025 Usafiri wa kwenda Morogoro umekuwa wa shida leo Mbezi Stendi ya Magufuli jijini Dar kutokana na madai ya mabasi kukodishwa na UVCCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Treni vipi kwani au umeme hamna Dar-Moro?
Watu wengi bado hawako awea na treni aidha treni inaondoka 12 asubuhi na 10 jioni hivyo hapa kati mtu yuko busy anataka kuwahi moro
 
Weekend huwa kuna shida ya usafidi wa Dar Moro vile watu wengi wanasafiri.
Mimi iliwahi nilazimu kukata Shabybi ya Dodoma nikashukia Moro kuokoa muda.
Sasa jana ilikuwa zaidi ya weekend kutokana na mabus ya Abood kuwa machache na ujue kuwa Abood ndio King of the Lord Dar moro Moro Dar
 
Inasemekana kuwa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo wamekodi mabasi mengi ya kwenda Morogoro kupeleka vijana wengi wakiwamo wanafunzi uwanja wa Taifa kwa Mkapa kwa ajili ya jambo lao la kuhamasisha uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Uchaguzi huo unatarajia kufanyika nchini kote mwishoni mwa mwaka huu

Vijana wengi wamepakiwa kwenye mabasi ya Abood kupelekwa uwanja wa Mkapa na kusababisha uhaba wa mabasi ya kwenda Moro kwenye standing kuu ya Mbezi jijini Darisalama

Shuhuda mmoja ambaye hakutaka kutajwa jina lake aliyefika stand ya Magufuli asubuhi majira ya saa tano alisema amefika hapo Mbezi na kukuta umati mkubwa wa watu wakisubiri usafiri wa kwenda Morogoro

alisema stand ilikuwa nyeupe hakuna mabasi ya kwenda Moro kama vile kipindi cha mwisho wa mwaka cha sikukuu za Chrismass na mwaka mpya

Shuhuda huyo alipotaka kukata tiketi kwenye ma-busi hayo ya Abood waliambiwa na wahusika kuwa mabasi yao mengi leo yamekodiwa hivyo wasubiri mpaka bus likifika kutoka huko walipokodiwa ndio wataanza kupokea fedha na kuwakatia tiketi

Aliongeza kusema kuwa majira ya saa sita mchana likaingia bus moja watu walipanga foleni kugombea tiketi na kwamba ilipofika zamu yake kwenye foleni hiyo aliambiwa bus hilo limejaa asubiri lije lingine ndio wataanza tena kukatisha tiketi nyingine

Alisema alikuja kupata tiketi saa kumi jioni na kuondoka stand hapo saa kumi na nusu huku akiacha umati wa watu wakisubiria mabasi hayo ya Moro mengine yaje

Inasemekana UVCCM leo wamesomba wanafunzi wengi na mabus kuwapeleka uwanja wa Mkapa ili waweze kufanikisha jambo lao na kuonyesha jamii kuwa vijana wengi wanaunga mkono chama hicho

Watu wengi wamehoji kuwa wangefanya kongamano lao hilo siku ya shule wasingepata watu wengi kiasi hicho wamevizia mwishoni mwa wiki wanafunzi hawendi shule ndio wamesomba na mabus kuwapeleka Taifa

Ikumbukwe kuwa mmiliki wa mabus ya Abood Aziz Abood ni kada wa CCM kindakindaki na ndiye mbunge wa Morogoro mjini kupitia chama hicho

Namalizia kwa kusema Comasava UVCCM
Panda SGR
Magari kuwa busy ni mafanikio kwa wafanyabiashara

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Kwani uvccm hawapo morogoro, mpaka wabebe watu toka mkoa mmoja hadi mwingine? Kama ni hivyo bora mkutano ungefanyika Dar KuSave gharama na usumbufu🤔
 
kapande treni mpya, wacha kulalamika. Ukiikosa ya asubuhi panda ya jioni.

CCM ni chama dola.
 
Inasemekana kuwa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo wamekodi mabasi mengi ya kwenda Morogoro kupeleka vijana wengi wakiwamo wanafunzi uwanja wa Taifa kwa Mkapa kwa ajili ya jambo lao la kuhamasisha uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Uchaguzi huo unatarajia kufanyika nchini kote mwishoni mwa mwaka huu

Vijana wengi wamepakiwa kwenye mabasi ya Abood kupelekwa uwanja wa Mkapa na kusababisha uhaba wa mabasi ya kwenda Moro kwenye standing kuu ya Mbezi jijini Darisalama

Shuhuda mmoja ambaye hakutaka kutajwa jina lake aliyefika stand ya Magufuli asubuhi majira ya saa tano alisema amefika hapo Mbezi na kukuta umati mkubwa wa watu wakisubiri usafiri wa kwenda Morogoro

alisema stand ilikuwa nyeupe hakuna mabasi ya kwenda Moro kama vile kipindi cha mwisho wa mwaka cha sikukuu za Chrismass na mwaka mpya

Shuhuda huyo alipotaka kukata tiketi kwenye ma-busi hayo ya Abood waliambiwa na wahusika kuwa mabasi yao mengi leo yamekodiwa hivyo wasubiri mpaka bus likifika kutoka huko walipokodiwa ndio wataanza kupokea fedha na kuwakatia tiketi

Aliongeza kusema kuwa majira ya saa sita mchana likaingia bus moja watu walipanga foleni kugombea tiketi na kwamba ilipofika zamu yake kwenye foleni hiyo aliambiwa bus hilo limejaa asubiri lije lingine ndio wataanza tena kukatisha tiketi nyingine

Alisema alikuja kupata tiketi saa kumi jioni na kuondoka stand hapo saa kumi na nusu huku akiacha umati wa watu wakisubiria mabasi hayo ya Moro mengine yaje

Inasemekana UVCCM leo wamesomba wanafunzi wengi na mabus kuwapeleka uwanja wa Mkapa ili waweze kufanikisha jambo lao na kuonyesha jamii kuwa vijana wengi wanaunga mkono chama hicho

Watu wengi wamehoji kuwa wangefanya kongamano lao hilo siku ya shule wasingepata watu wengi kiasi hicho wamevizia mwishoni mwa wiki wanafunzi hawendi shule ndio wamesomba na mabus kuwapeleka Taifa

Ikumbukwe kuwa mmiliki wa mabus ya Abood Aziz Abood ni kada wa CCM kindakindaki na ndiye mbunge wa Morogoro mjini kupitia chama hicho

Namalizia kwa kusema Comasava UVCCM

Pesa ya ABDUL siyo mchezo ..... Warabu watakuwa wamemwaga pesa ya kufa mtu safari hii kuhakikisha Maza anaendelea.
 
Kwani uvccm hawapo morogoro, mpaka wabebe watu toka mkoa mmoja hadi mwingine? Kama ni hivyo bora mkutano ungefanyika Dar KuSave gharama na usumbufu🤔
Soma vizuri uelewe kilichoandikwa
 
Back
Top Bottom