Lonely thinker
Member
- Dec 12, 2019
- 17
- 19
Hakuna meli ya abiria inayotoka hapa Tanzania mpaka Brazil.Wapendwa eee hivi Kuna meli inayotoka bandari ya dar es salaam hadi Brazil?
Sent using Jamii Forums mobile app
Write your reply...daah nakumbuka shughuli zangu za uzamiaji sitakaa nisahau nilivyoachwa kisiwa cha Solomon island.
Kama unazamia meli hapa Bongo ili uende ulaya inabidi utulize kichwa. Na meli pekee ni za kontena tena utafute taarifa ya meli iyo na ratiba yake.
Mkuu ilikuaje tupe uzoefuWrite your reply...daah nakumbuka shughuli zangu za uzamiaji sitakaa nisahau nilivyoachwa kisiwa cha Solomon island.
Write your reply...daah nakumbuka shughuli zangu za uzamiaji sitakaa nisahau nilivyoachwa kisiwa cha Solomon island.
Kama unataka uzamie nikupe escape plan kuanzia bandarini mpaka kuingia kwenye meli.
Hii unaingia bandari yoyote hata iwe na security level one na meli nakusomea ramani yake yote na sehemu salama za kukaa ambazo ni ngumu kufanyiwa inspection kabla ya meli kuondoka bandarini.
Meli zipo, kama si za kwenda moja kwa moja za kuunganisha, Unataka kusafirisha nini?Wapendwa eee hivi Kuna meli inayotoka bandari ya dar es salaam hadi Brazil?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzamiaji bado upo sana. Uzamiaji ni moja ya matishio makubwa katika biashara ya meli na bandari.
Mkuu ukizamia meli kwanza jihamini na hakuna mtu yeyote atayekudhuru ukiwa melini wala kukufanyia kitendo kiovu. Endapo hatathubutu kwa sheria za sasa adhabu itakuwa ni kwa nahodha, mhusika mpaka mmiliki wa hiyo kampuni.