Kama upo serious kwenda Brazili meli za kuzamia ni meli ambazo huleta sukari, mahindi au ngano.
kweli, tulikuwa tunasimulia habari za kufungiwa kwenye pipa na kutupwa baharini, hasa meli za wagiriki.Huyo aliyefanikiwa alipambana haswa kuzamia zamani walitumia njia ngumu ukisimuliwa kama una roho ndogo uwezi kukubali uzamie.
Meli zilikuwa zinatumia muda mwingi safarini na mzamiaji anajificha kwenye chumba cha mizigo mtu anakula biskuti na maji. Sehemu za hewa safi zilikuwa finyu kwao.
Sijasema ni rahisi. Ila uzamihaji bado ni janga katika meli nchi za kaskazini mwa Africa, Asia na America.Offshore Seamen,
Sio rahsi kama unavyofikria
Napenda sana maisha ya kuzamia kwani nahisi nilizaliwa niwe mzamiaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaji huo.Mkuu kumbe umewahi zamia meli.
Saizi raha sana ukizamiha ukakamatwa na mmetoka nje ya nchi yako. Wafanyakazi was meli hawarusiwi kukusumbua utahudumiwa vizuri mpaka utaposhushwa bandari inayofatwa na kupelekwa ubaloz wa nchi yako.
Na huo ndio muongozo wa international Ship and Port Facility Security Code (ISPS CODE) kwenye kipengele cha stow away.
Kuna kifungu cha kuhusu utu ukikamatwa wakati wa kurudishwa nchini mwako unapewa pesa kiasi kama dola 1000 ya kujikimu ukirudi mtaani.
Huyo kwenye avatar ni wewe mkuu?Offshore Seamen,
Sijaona alipouliza "meli ya abiria" kauliza meli tu.