Usafiri wa Mwendokasi Kimara umekuwa mwiba mchungu

Nina maumivu Sana moyoni juu ya ninayoyaona hapa kimara hebu tazamaView attachment 2998490
Mazingira ya kumpa Mwarabu mradi yanaandaliwa hapa. Wanaacha mteseke ili mwarabu akipewa mradi muone kama mmeshushiwa mana. Unajua ukitaka kumteka kimawazo mtu akuone kama mungu mtu, mwache na shida kubwa au njaa kwa muda mrefu. Siku ukimpa chakula hata kiwe kibaya namna gani atashukuru sana na hatakumbuka kuhoji kuhusu chakula ulichompa.
 
Ccm imelaaniwa na hiki ndicho wamekuwa wakifanya miaka yote akili zao km kinyesi tu
 
Your browser is not able to display this video.
Abiria huko wame-update style yao ya kupanda hayo mabasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…