ophthalmic doctor
Senior Member
- Feb 12, 2017
- 191
- 249
Ni kama yule RC aliyesema mabasi yashushe na kupakilia abiria Mbezi terminal na siyo vinginevyo, in real sense hawa watu wanatafuta kuheshimiwa na kuogopwa kwa kuwatengenezea wananchi maisha magumu badala ya kuwarahisishia maisha, hii yote huja ili ku favour masilahi yao, ningewaona wana akili kama wangekuwa wanasitisha huduma baada ya kuwa wameweka huduma mbadalaHatimaye serikali yasitisha usajili wanoah katika biashara.
Huu usafiri unasaidia sana vijijini, umerahisisha maendeleo na mambo mengine , figusu katika nchi yetu haziishi, hatimaye wamesitisha huduma za kusajili noah katika biashara, sijui hii imechukuliwa kwa mtazamo gani.
Hivi wanaopitishaga haya maswala wanajua hadha za usafiri vijijini kweli au wamekaa kwenye viyoyozi tu wanakurupuka kutoka usingizini.
Yaani acha kabisa[emoji1751]Ni kwasababu za kiusalama, ile sio gari ya kubeba watu 17! kwengine hata zaidi!