ophthalmic doctor
Senior Member
- Feb 12, 2017
- 191
- 249
Hatimaye serikali yasitisha usajili wanoah katika biashara.
Huu usafiri unasaidia sana vijijini, umerahisisha maendeleo na mambo mengine , figusu katika nchi yetu haziishi, hatimaye wamesitisha huduma za kusajili noah katika biashara, sijui hii imechukuliwa kwa mtazamo gani.
Hivi wanaopitishaga haya maswala wanajua hadha za usafiri vijijini kweli au wamekaa kwenye viyoyozi tu wanakurupuka kutoka usingizini.