usafiri wa Precion air ni aibu tupu

540 na PW wote ni wajinga wajinga tu! Bora upande basi la Najumunisa au Zaka Fasta
 

Utakuwa unapanda boeing wewe! lol
 
Kupanda Precision Air ni sawa na kuwa kwenye jeneza unasubiriwa kuzikwa, wahudumu wajeuri, customer care viburi
 

PJ umenena kuna watu wanazidisha chumvi sana
to be realistic most of them are in a good condition sema
RATIBA ZAO NDO ZINAKERA HASWA imeshanikuta sana!!
 
Kama unasafiri kwenda Mwz na KIA tumia ATCL. Ndege yao iko ktk hali nzuri na imetulia. Wasafiri wa mara kwa mara wanapendelea ATCL ktk route hizo.
 


Ni kweli mkuu, hizo ni namba za ruti, lakini hoja ni kuwa kuna mende Kwenye ndege ya PW
 
Mende ni kweli wapo! Kutotabirika kwa ratiba ni kweli
 
Alafu ni wabahili miezi ya nyuma staff wao wa nairobi walikua on strike watu tukaganda KIA ndege haiji ilikua imetokea nairobi.. Hela wanakula wao wakubwa lkn huduma hawaboreshi
 
Hmmm...sijui nyinyi mnazungumzia Precision gani lakini mimi juzi juzi tu hapa nime fly na Precision kwenda Shinyanga na ilikuwa nzuri tu.
 
Nilipanda moja toka Mtwara yaani viti vyote ni matambara mabovu mpaka raia wa kigeni wakatikisa vichwa. Mende pia walikuwamo

na bado! utaja kuta dirisha moja lipo wazi makawa nang'ang'ania kujivutia kio na jiraniyo! ila SAFARI NI SAFARI. alafu hawa jamaa kwa matangazoo! mmmh!
 
Kubadili badili ratiba ni kweli. Kwani hata mi nishawahi kukaa kuanza 3 usubuhi nakuja ondoka 12 jioni, lakini lunch walinunulia na walikuwa apologetic, mende sijawahi ona
 
Hata airline kubwa za kimataifa nazo hubadili ratiba. Kwa hiyo kubadili ratiba si hoja kihivyo.
 

issue si ndege kuwa katika hali nzuri issue ni time.. ukinda ku-book wanachukua details zote, lakini cha ajabu ni kwamba wakiahirisha safari wanashindwa kukutaarifu mapema ili ufanye mpango mwingine..utashangaa mmesha-check in halafu unaambiwa hadi kesho, sasa unajiuliza uko na watoto, usiku, na nyumbani ni mbali, huo usafiri utapatia wapi?! sometimes ndege za mizigo zinafika mapema,huku abiria wakiahirishiwa then mizigo inapotea!! I agree miaka ya nyuma kidogo ilikuwa the best lakini kwa sasa..ni usumbufu!!
 
Nashauri m-copy na ku-paste hizi comments zote katika website yao ili waone.
 
Kwakweli wanakera,mimi nilishawahi kufika Mwanza saa saba ya usiku.Nilikuwa niondoke na ndege ya saa tano asub ile ndege yao kubwa nafika Airport tunaambiwa ratiba imebadili tutaondoka jioni ndege inaenda JNB,ilipotoka JNB ikaenda kilimanjaro ikarudi ndio tukaletwa Mwanza.Ndege ina ratiba kama daladala.
 

hisa zipi mkuu
umesoma kile kitabu chao asilimia 85 ya pesa zao ni madeni
kama sio ubwanyenye wa watanzania kukimbilia kumiliki kampuni ya ndege naamini wangeelekezwa kwa kiswahili akuna angetoa hata 500 tzs
 
Kubadili badili ratiba ni kweli. Kwani hata mi nishawahi kukaa kuanza 3 usubuhi nakuja ondoka 12 jioni, lakini lunch walinunulia na walikuwa apologetic, mende sijawahi ona

Kwa sababu wewe labda ni Mdada. Mimi nina maoni juu ya huduma zao

1. nilitoka Nairobi - Dar Mhudumu anaangalia rangi ya ngozi ktk kutoa huduma bia black moja na unaambiwa hakuna nyingine white kiasi atakacho
2. Kutoka Mtwara kwa kweli ndege imezeeka unaona kabisa vyuma kutu tupu

3. Mwanza Dar kuna siku tuliwekwa tulitakiwa kuondoka saa nne asubuhi safari ikawa saa nne usiku
 
Napita tu, hata ndoto ya kupanda ndege sina. Hivi mpango wa zile flight za ungo toka Sumbawanga ziliishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…