Usafiri wa treni ya kawaida

brave Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
247
Reaction score
135
Habari za leo wadau,
Naomba kuuliza kama kuna usafiri wa tren isiyo kuwa ya umeme kutoka Moshi mpaka dar es salaam, na kama ipo nauli ni kiasi gani??
 
Ipo nadhani ni siku za jumatano na jumapili pia nauli zake ni 18k.
#nashukuru sana kwa maoni yako,
Nakumbuka mwezi wa 3 mwishoni hakukuwa na usafiri kutokana na mvua kuwa nyingi, kwahiyo nilitaka kujua kama imesha ruhusiwa kufanya safiri au bado??
 
#nashukuru sana kwa maoni yako,
Nakumbuka mwezi wa 3 mwishoni hakukuwa na usafiri kutokana na mvua kuwa nyingi, kwahiyo nilitaka kujua kama imesha ruhusiwa kufanya safiri au bado??
Mie mzee wangu anafanya kazi TRC.
Nakumbuka alinambia marekebisho yashafanyika.
Labda nimpigie kuhakiki zaidi.
 
Hapana jumatatu na ijumaa inatoka Dar es salama na jumanne na jmosi inatoka Moshi ila kuanzia mwez wa 10 routes zinaongezeka
#inamaana mpaka Sasa ipo na route zake ndio hizo??
Na nauli ndio kama ilivyo andikwa na kosugi hapo juu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…