Tokea wiki iliyopita naangalia tiketi ya safari kwenda morogoro siku ya Alhamis sioni safari! Wanaweka safari ya siku moja moja.
Unaweza ukasema usubirie waiweke safari ya siku unayotaka na wasiiweke, siku hiyo kukawa hakuna safari kwahiyo inakua kama umepoteza muda kusubiria.
Huu usafiri si wa uhakika kabisa yani mtu huwezi kufanya booking hata ya wiki ijayo! Hili TRC inaendeshwa kienyeji sana! Na ndio maana treni zinaenda na kurudi tupu!!