Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Tupunguze utegemezi wa mafuta.
1. Bajaji na Boda boda zote zinazofanya kazi kwenye majiji na manispaa ziwe za umeme. Tuache kusajili bajaji na bodaboda za mijini zinazotumia mafuta.
2. Mabasi ya abiria kwenye manispaa na majiji yawe ya umeme tu.
3. Tuache kujenga miradi ya mwendo kasi wa mabasi ya mafuta. Tujenge njia za Trams zinazotumia umeme.
Polepole tutajikuta hatushtuliwi tena na bei za mafuta duniani.