kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
- Thread starter
-
- #41
Mripoti bado hawajaamka[emoji1980]Kutoka Mabibo mwisho kwenda makumbusho hakuna Cha level seat wala nini,gari zinapita zimejaza kana kwamba hakuna tishio la Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka uorodheshewe gharama zote ili iweje?Hasara kivipi?
Aangalie huko India, Uganda,SA watu wanavopata shda ndo ataregreat anachosema
god is good
Hawajazingatia mita moja ya umbali uliotakiwaHata level seat bado sio suluhuhisho!
mimi mwenyewe nahisi kuna namna hapaJana kuna daktari wa wizara nilikua naongea nae alidai tatizo kubwa(maambukizi ni mengi kuliko inavyoelezwa)...muda wote vikao na wamesitisha ziara zao zote za mikoani kwa ajili ya korona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa serious mkuu.
Museveni yeye kasema watu waende kazini kwa miguu kabisa..hali ni mbaya haya maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
nkiwaza pale feri tunavyo banana kusubiria pantoni, hyo one meter distance tutaingia 50 tu. na Pantoni itakula hasara, au foleni ya kukata tiketi itakuwa ikulu au azania frontkunguni wa ulaya, Hayo yote kupoteza mda serikali bado ijafanya kazi yake ya kuzuia kuenea kwa gonjwa hi la covid 19, distancing inayo hitajika ni mita moja kutoka mtu kwa mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora serikali wafanye wasitishe watu wote wasiende makazini ili kuepusha kuenea kwa ugonjwa wa Corona kuliko kuzuia usafiri wa umma uwe level seat.
Leo kuna adha kubwa ya usafiri kwa sababu ya level seat. Ni hatari sana kwa maendeleo ya uchumi
kitochi
Jana kuna daktari wa wizara nilikua naongea nae alidai tatizo kubwa(maambukizi ni mengi kuliko inavyoelezwa)...muda wote vikao na wamesitisha ziara zao zote za mikoani kwa ajili ya korona.
Sent using Jamii Forums mobile app
@Rrondo asante kwa mchango mzuri.Afadhali kuchelewa kuliko kutoenda kabisa.
Ni bora serikali wafanye wasitishe watu wote wasiende makazini ili kuepusha kuenea kwa ugonjwa wa Corona kuliko kuzuia usafiri wa umma uwe level seat.
Leo kuna adha kubwa ya usafiri kwa sababu ya level seat. Ni hatari sana kwa maendeleo ya uchumi
kitochi
Kisemvule-posta ngoma level seat.
Tuombe maambukizi yasiongezeke.
Yakiongezeka ni mwendo wa kukaa ndani tu
kunguni wa ulaya, Hayo yote kupoteza mda serikali bado ijafanya kazi yake ya kuzuia kuenea kwa gonjwa hi la covid 19, distancing inayo hitajika ni mita moja kutoka mtu kwa mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yet lanzini in Lazio za serikali tu, kama unaenda Kenya kazi zako, au kazi binafsi hanna shida.Sasa huoni kwamba wakisitisha kabisa athari kiuchumi ndio itakuwa kubwa zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa ndipo mnapofeli huyo daktari amekwambia hao wagonjwa wengi wamepelekwa hospitali gani?..
una akili jaribu kuzitumia acha kusikiliza maneno ya kuambiwa...
niliwahi kusema humu CORONA HAIFICHIKI.
inajionyesha tu kama wapo wengi walioathirika wataonekana.leo ni wiki ya pili je kuna vifo?.
JE yupo ambae yuko kwenye Hali mbayaa?.
Sent using Jamii Forums mobile app