am sure watu wa huko hata ulete mcoaster full ac wanaweza wakaupiga chini!
duuuhhhh inamaana hamna sheria au ndo nini tena...
au ndo watu wengine wamechoka na maisha.??
Basi hao wakaazi nao ni tatizo...alipeleke kwa wakwe zangu jeuri kule MARANGU aone kama watapanda
hawajazoea ati! unaweza ukashangaa unawasha ac watu wanapiga chafya safari nzima!
Yani ungeona watu wanavyojaa ktk iyo pick up usingeamini na linaspeed balaa!!wanasema wenyewe ndo gari wanaloliamini....