Usafiri wetu wakati tunasubiri maisha bora!!

aaaa bwana hakuna mtu anaendesha hili gari..
watu bado wanapenda maisha yao bwana..
 
am sure watu wa huko hata ulete mcoaster full ac wanaweza wakaupiga chini!
 
aaaa bwana hakuna mtu anaendesha hili gari..
watu bado wanapenda maisha yao bwana..

Yani ungeona watu wanavyojaa ktk iyo pick up usingeamini na linaspeed balaa!!wanasema wenyewe ndo gari wanaloliamini....
 
kwa kweli tunatofautiana sana..
ningekuwa na sali Rosali masaa yote...
 
Back
Top Bottom