KERO USAFIRISHAJI HORERA WA SULPHUR KUTOKA BANDARINI UNATUUMIZA MAPAFU

KERO USAFIRISHAJI HORERA WA SULPHUR KUTOKA BANDARINI UNATUUMIZA MAPAFU

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Oct 7, 2024
Posts
18
Reaction score
23
Mara nyingi kumekua na maroli kama tiper yanayobeba sulphur kutoka bandarini yanabeba sulphur bila kujali taratibu za kiafya kwa watumiaji wengine wa bara bara unakuta sulphur inaruka kama vumbi nyuma ya gari kanakwamba milango ya gari zile haizibi vizuri kuzuia sulphur kupenya na kusambaa kwenye hewa.

Ni bora sulphur ifungwe kwenye vifungashio maalumu ili kuzuia kuathiri watumiaji wengine wa barabara.

Sulphur inaweza kusababisha shida kwenye mfumo wa upimuaji wa binadamu endapo ikivutwa na kuingia kwennye mapafu.

Mamlaka zifuatilie jambo hilo.
 
Watu wakishavuta posho tu uko njiani mtajijua wenyewe ila kingine ukishajua wamiliki wa huo mzigo,gari basi mwenyewe utaogopa kutoa kero
 
Ukitaka kununua nyumba au kiwanje kwa ajili ya kuishi epuka kununua pembezoni mwa barabara
 
Huwa nashangaa hiyo Sulphur jinsi inavyosafirishwa aisee ila ukitaka kuleta rangi ya nyumba tu utaambiwa tafuta vibali kwa Mkemia mara sijui nini wakati huko bandarini chemical hatari zinatoka hovyo hovyo kama wahusika hawaoni vile..
 
Back
Top Bottom