lyogo
Member
- Nov 2, 2013
- 48
- 32
Wapendwa habari zenu?
Tafadhali naomba mnisaidie kama kuna mtu anazijua bei au gharama kamili za usafirishaji wa magari mapya (IT) yanayotoka bandari ya Dar es salaam kwenda nchi jirani mfano Lusaka-Zambia, DR Congo, Kigali-Rwanda, Burundi nk.
Nitashukuru kama nitapata mchanganuo kamili wa kuanzia malipo ya dereva, mafuta, ushuru au road toll nk.
Asanteni.