KERO Usafirishaji ovyo wa taka usiozingatia kanuni za kiafya unachafua mazingira na kuhatarisha afya za wananchi

KERO Usafirishaji ovyo wa taka usiozingatia kanuni za kiafya unachafua mazingira na kuhatarisha afya za wananchi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kumekuwa na usafirishaji wa taka ovyo bila kufuata utaratibu wa kiafya hivyo inapelekea maji machafu yenye harufu kali sana kumwagika barabarani.

Tena unakuta gari la taka lipo kwenye foleni kwa hiyo watu wanateseka sana na harufu kali.

Kwa hiyo ningeshauri manisipaa kufanya utaratibu wa jinsi ya kupeleka taka hizo, pia kufunika taka na itapendeza kwenda usiku kumwaga sababu hakuna foleni na watu hakuna barabarani.
 
Kwa kweli ni kero sana, kuna gari la Interchick ni balaa aisee, linanuka uozo kuliko uozo wenyewe.
 
Back
Top Bottom