marathonlogistics2016
New Member
- Aug 16, 2022
- 1
- 1
Usambazaji wa mizigo mikoa yote ya Tanzania – Bara na Visiwani.
Marathon Logistics inapenda kukufahamisha kwamba inatoa huduma za usafirishaji wa mizigo (midogo midogo na mikubwa) na vifurushi ndani ya Tanzania – Bara na Visiwani. Hii ni:
- Kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa yote ya Tanzania – Bara na Visiwani;
- Ndani ya Dar es Salaam, yani kutoka eneo moja hadi lingine (kwa mfano wilaya moja kwenda nyingine);
- Kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine; kwa mfano Dodoma – Singida; Mwanza – Kagera n.k.;
- Ndani ya mikoa yote ya Tanzania – Bara na Visiwani.
- Bei zetu ni nafuu kuliko wasafirishaji wote;
- Mizigo yote inakuwa na bima, kwa hiyo ikitokea dharura yoyote kama mzigo kuungua – mteja anafidiwa kulingana na thamani ya mzigo wake;
- Mteja anaweza kufuatilia mzigo wake kupitia trucking system yetu, na hivyo kujua umefika wapi wakati wowote ule; na
- Huduma zenye ubora – usafirishaji wa uhakika, haraka na salama.
- Kariakoo Mtaa wa Agrey na Congo – Uhuru Junction kwenye Mataa
- Ofisi Kuu ipo: Kijito Nyama Mpakani, Mwangashimo Street, Karibu na Marie Stopes Hospital
P: 0766-063-158/0620-254-426/0744-022-263
E: info@marathonlogistics.co.tz
Google Map Link: Marathon Logistics Limited - Google Maps