Usafirishaji wa mizigo toka USA

Usafirishaji wa mizigo toka USA

Helios

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
651
Reaction score
490
wadau,
kuna kampuni au watanzania wanaoshughulika na uletaji/usafirishaji wa mizigo toka USA? gharama zao zipoje? kama kuna watu wameshwatumia, experience yao ipoje?
 
Guys, mwaka na nusu umepita tangu hii topic ije hapa. Je kuna watu wana info zozote?
 
Back
Top Bottom