P Parrot_2024 Member Joined Dec 16, 2017 Posts 63 Reaction score 28 Aug 21, 2018 #1 Habari zenu Natarajia kuhamia Arusha kutoka Dodoma baada ya mwezi na nataka kusafiri na vitu vyangu...nina vitu vya chumba kimoja cha self tu! Nahtaji kupata information ya watu wanosafirisha vitu from Dodoma to Arusha na bei zake Asanteni sana
Habari zenu Natarajia kuhamia Arusha kutoka Dodoma baada ya mwezi na nataka kusafiri na vitu vyangu...nina vitu vya chumba kimoja cha self tu! Nahtaji kupata information ya watu wanosafirisha vitu from Dodoma to Arusha na bei zake Asanteni sana
The Crushing JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 569 Reaction score 903 Aug 21, 2018 #2 ngoja watu wa garage waje dada
Genious862 Member Joined Aug 15, 2018 Posts 78 Reaction score 21 Aug 22, 2018 #3 Nenda pale jamhuri kuna magari yanashusha na kupakia mizigo ulizia wanasafirisha fresh tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda pale jamhuri kuna magari yanashusha na kupakia mizigo ulizia wanasafirisha fresh tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Jakowili Member Joined Jun 4, 2012 Posts 68 Reaction score 35 Oct 12, 2018 #4 Genious862 said: Nenda pale jamhuri kuna magari yanashusha na kupakia mizigo ulizia wanasafirisha fresh tu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Info@cmtl.co.tz
Genious862 said: Nenda pale jamhuri kuna magari yanashusha na kupakia mizigo ulizia wanasafirisha fresh tu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Info@cmtl.co.tz
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,383 Reaction score 11,197 Nov 17, 2019 #5 Genious862 said: Nenda pale jamhuri kuna magari yanashusha na kupakia mizigo ulizia wanasafirisha fresh tu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni kweli zipo Fuso na Canter kibao hapo Jamhuri stadium kwa upande wa Mashariki hatashindwana nao
Genious862 said: Nenda pale jamhuri kuna magari yanashusha na kupakia mizigo ulizia wanasafirisha fresh tu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni kweli zipo Fuso na Canter kibao hapo Jamhuri stadium kwa upande wa Mashariki hatashindwana nao