Usafirishaji ya vitu vya nyumbani kutoka Dodoma to Arusha

Usafirishaji ya vitu vya nyumbani kutoka Dodoma to Arusha

Parrot_2024

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
63
Reaction score
28
Habari zenu
Natarajia kuhamia Arusha kutoka Dodoma baada ya mwezi na nataka kusafiri na vitu vyangu...nina vitu vya chumba kimoja cha self tu! Nahtaji kupata information ya watu wanosafirisha vitu from Dodoma to Arusha na bei zake
Asanteni sana
 
Back
Top Bottom