Usagaji Twiga Stars?

Usagaji Twiga Stars?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
Nikipitia habari za michezo asubuhi ya leo, nimefadhaishwa na habari ya kuwepo usagaji katika timu yet ya wasichana, Twiga Stars.
Gazeti la Mwananchi toleo la SpotiMikiki(Juni 25 2012, uk wa pili), limeeleza kuwa imekuwepo tabia ya wasichana kusagana katika timu hiyo.
Linaendelea kudai kuwa kocha wa timu hiyo Boniface Mkwasa, katika kuchukua hatua kukomesha tabia hiyo, alidiriki kuwafukuza wasichana kadhaa kutoka katika timu hiyo, lakini bila mafanikio.
Hapa nilipo nimebaki najiuliza hivi vitendo ni vya kawaida kwa wasichana?
Au ndio fasheni?
 
mweeee na hili nalo?? asalaleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hata wana hisia jamani. Lakujiuliza ni kwamba kwani hawana waume au ma boyfriends?
 
Siku hizi hata sishangai naona imeshakuwa hulka kwa kina dada,maana kwa siye wakina baba swala la wa se****e tumelisikia muda mrefu hapa nchini mwetu labda na wao wameamua kuiga,maana kama ni kusoma na wao wanasoma siku hizi,kama ni baiashara na wao wamo sasa kwenye hilo kwanini wawe nyuma!ndiyo mambo ya siku za mwisho kila mtu anafanya kile roho yake inapenda.
 
sasa hivi hiyo michezo ndio fasheni, siohuko tu kila mahali.
 
Wanawake wameshaona kawaida siku hizi.Hata vibinti katika shule za wasichana tu ndo zao hizo!Yaani ni kila mahali!Hakika tunakoelekea siko.
 
Sitaki niseme kuwa imekuwa kawaida... ila kina dada wengi wanafanya hayo mambo! Pepo la kusaga toooooooooooooooooooooooooka!
 
Jamani, kina dada wa JF hebu tupeni mwanga hapa, nisuala la mpito tu au ndo fasheni?
 
tatizo ni kua wanatumia muda mwingi pamoja...ni sawa sawa na boarding school za wanawake...madada zetu wameshakulana wao kwa wao kwenye shule nyingi tu
 
Hili wala si jambo jipya kama wengi wanavyosuggest hapa, ni tendency imekuwepo hata mashule ya jinsia moja(wasichana) since before haijawa fasheni, na hawa twiga stars wana hisia na hawakutani na vijana kila siku kambini hamna kumingle wala nini, dah wht d u expect?
 
Back
Top Bottom