Usagaji una niweka huru.

Usagaji una niweka huru.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
d48b8fd507L.jpg
Msanii Rayuu katika picha.






Msanii anayekuja juu kwenye filamu Alice Bagenzi ' Rayuu' amekiri wazi kuwa usagaji si mapenzi haramu na kwake anaona ni mazuri kwani yanampa faraja na kumfanya ajisikie huru pindi anapokutana kimwili na mwanamke mwenzake hasa mwenye makalio makubwa. Nyota huyo alifunguka baada ya kudaiwa kuwa amekuwa akijihusisha na mapenzi hayo kwa muda mrefu, ambapo alisema kuwa si vibaya kufanya hivyo na anaamini ni kitu cha kawaida. Alisema tangu alipo anza kujihusisha na usagaji amekuwa akisahau mapenzi na mwanaume na mara kadhaa anawatolea nje wale wanao mtongoza wakidhani ana shoboka na magari.

" Usagaji kwani ni haramu? Mbona naona kawaida kama wapo wanao fanya hivyo nawapa big up sana sioni kama tatizo, napenda kufanya hivyo ili kujitoa kwenye mapenzi ya maumivu kila siku hata sitaki wanaume, wanachosha sana " alisema.

Alipoulizwa kuwa tangu alipo anza kujihusisha na tabia hiyo ni wasanii wangapi alio wahi kuwa na uhusiano nao alisema ni wengi na wengine ni mastaa ambapo wamekuwa wakimtongoza wenyewe.


" Kuna wasanii kibao wasagaji , wengine wananitongoza wenyewe , sioni kama ni sifa lakini kwa upande wangu naweza kujinasua kwenye usaliti wa wanaume ukizingatia mimi ni mrembo ninaye pendwa na kila mwanaume" aliongeza..

CHANZO : Gazeti la Sani, toleo NA. 1028, Jumamosi, Juni 22-25 ,2013.
 
kwa hiyo source sicomment kitu
udaku? uzushi ...mauzo ya gazeti
 
kumbe wasagaji hawaoneani wivu na hawaumizani kimapenzi?
Aisee
 
kumbe wasagaji hawaoneani wivu na hawaumizani kimapenzi?
Aisee

Mdogo wangu amu,naona umeongea kwa hisia kali,vipi mdogo wangu.
 
Last edited by a moderator:
thats a bull-shit, crackass, jackass like non other stupid bitch-girls, famous my-ass plus blahblahhhhhhh
 
Mh kazi kwel kweli mwaache ajisage mwisho wasiku atasigika

Nakumbuka shair moja mtunzi nimemsahau linaitwa Jiwe si mch
Jiwe halisagi jiwe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Waache waendelee kusagana, mpaka watakapogeuka majivu ndipo watajua makusudi ya Mungu!
 
Mh kazi kwel kweli mwaache ajisage mwisho wasiku atasigika

Nakumbuka shair moja mtunzi nimemsahau linaitwa Jiwe si mch
Jiwe halisagi jiwe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Limeandikwa na Mohamed Seif Khatib kwenye Diwani ya Wasakatonge
 
Tanzania tumeendelea. Kuna siku na mashoga watajitangaza hadharani.
 
Mdogo wangu amu,naona umeongea kwa hisia kali,vipi mdogo wangu.

soma stori yake kasema kuwa kachokwa kuumiza na wanaume na wivu cjui nini.
Aaaa soma stor acha uvivu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom