LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Msanii anayekuja juu kwenye filamu Alice Bagenzi ' Rayuu' amekiri wazi kuwa usagaji si mapenzi haramu na kwake anaona ni mazuri kwani yanampa faraja na kumfanya ajisikie huru pindi anapokutana kimwili na mwanamke mwenzake hasa mwenye makalio makubwa. Nyota huyo alifunguka baada ya kudaiwa kuwa amekuwa akijihusisha na mapenzi hayo kwa muda mrefu, ambapo alisema kuwa si vibaya kufanya hivyo na anaamini ni kitu cha kawaida. Alisema tangu alipo anza kujihusisha na usagaji amekuwa akisahau mapenzi na mwanaume na mara kadhaa anawatolea nje wale wanao mtongoza wakidhani ana shoboka na magari.
" Usagaji kwani ni haramu? Mbona naona kawaida kama wapo wanao fanya hivyo nawapa big up sana sioni kama tatizo, napenda kufanya hivyo ili kujitoa kwenye mapenzi ya maumivu kila siku hata sitaki wanaume, wanachosha sana " alisema.
Alipoulizwa kuwa tangu alipo anza kujihusisha na tabia hiyo ni wasanii wangapi alio wahi kuwa na uhusiano nao alisema ni wengi na wengine ni mastaa ambapo wamekuwa wakimtongoza wenyewe.
" Kuna wasanii kibao wasagaji , wengine wananitongoza wenyewe , sioni kama ni sifa lakini kwa upande wangu naweza kujinasua kwenye usaliti wa wanaume ukizingatia mimi ni mrembo ninaye pendwa na kila mwanaume" aliongeza..
CHANZO : Gazeti la Sani, toleo NA. 1028, Jumamosi, Juni 22-25 ,2013.