Usagaji: Watanzania tumefikia hapa?

Usagaji: Watanzania tumefikia hapa?

Huo usagaji ndio nini sasa?, hao watafanyana nini zaidi ya kushikana shikana na kubusiana tu?!
 
Ukishatoa machozi, chukua leso yafute. Kaendelee na mambo mengine..

Kwa dunia ya sasa hayo mambo yanashamiri sana, ila ni cha mtoto kwa Sodoma na Gomora..
Umeona eeh yaani dunia simama nishuke
 
Aisee,hivo viwanaume vilivokaa hapo kwenye hiyo sherehe uchwara ya hao malesbian,wanatakiwa walambishwe viboko visivopungua 40
Mkuu watakua n mapunga' mwanaume halisi hawezi kuwa sehemu ya upuuzi uliofanywa hapo.
 
Huyu anayevalishwa Pete ni J.J.aka Janet Julius Shonza,mdogo wake Juliana Shonza,naibu waziri katika serikali ya CCM.Kalikuwa kanaimba nyimbo za injili kanajifanya kameokoka.
Kibaya kabisa Dada yake ndiye Naibu waziri wa wizara husika ya Habari na utamaduni,ingekuwa wazungu tayari angekwisha jiuzulu
 
Back
Top Bottom