nawashangaa mnaoona hili kama jambo la ajabu kiasi cha kukasirika, wala msipanic. kosa lilianza pale dunia ilipochukulia ngono kama starehe na kutoikemea kwa vijana kufanya kabla ya ndoa, kutokemea walio na ndoa kuzini nje. baada ya utaratibu wa kawaida wa mwanamke na mwanaume kukutana kimwili ukaanza wa kuingiliana kinyume na maumbile kati ya mwanaume na mwanamke, haikutosha mwanaume kumuingilia mwanaume mwenzie, sasa tupo pa wanawake kwa wanawake na hii michezo ipo sana tz kwa sasa tunakoelekea tutoona kawaida tu maana tunachukizwa nayo katika hali ya kibinadamu sio katika hali ya ROHO WA MUNGU ambayo hukataa dhambi zote maana hapa kuna watu wanajifanya wamechukia hili ila wanawaingilia wanawake kinyume na maumbile, wanatembea na waume za watu bila aibu, wanatembea na mabinti au vijana wa umri wa kuweza kuwazaa kabisa. KAMA TUNACHUKIA DHAMBI BASI TUCHUKIE DHAMBI ZOTE SIO KUDHANI KUNA DHAMBI MBAYA KULIKO NYINGINE DHAMBI NI DHAMBI TU.