Usagara mwanza: eneo sqm 4248 linauzwa. Linatazamana na barabara kuu ya Lami, Buhongwa-usagara

Usagara mwanza: eneo sqm 4248 linauzwa. Linatazamana na barabara kuu ya Lami, Buhongwa-usagara

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Hello Jf
Hili ni eneo lenye mita za mraba 4,248

limepimwa tayari beacon zipo

Hati ipo, inasoma Biashara na Makazi

Halina tatizo lolote.

Unaweza Weka Biashara yoyote unayoona inafaa (KAMA KITUO CHA MAFUTA), YARD YA MAGARI ama ukajenga makazi

BEI ELEKEZI NI 160 million Tshs.

mpigie mwenye eneo 0713096076 muonane kwa ajili ya Biashara

Picha zinaongea hapa
 
IMG_20220319_092155_057.jpg
IMG_20220319_092148_816.jpg
IMG_20220319_092144_862.jpg
IMG_20220319_091305_709.jpg
IMG_20220319_091301_392.jpg
IMG_20220319_090958_067.jpg
 
Namaanisha mzigo umesimama. Ila gharama Ndio Hatari. Sqm 1000. Hauna tufanye biashara
Zipo nyingi sana. hilo eneo lingekuwa porini ndani huko lingeuzwa milioni 6 mkuu

angalia potentiality ya eneo. Ndio maana bei ikawa hivyo



Vipo visivyo vya barabarani unauzwa bei milioni 7 kwa 30/35 ama 30-40
 
Usiwe unasimanga wateja wachache mno watakaokutafuta na kujitambulisha Id zao halisi za JF

Unapanic ovyo mkuu
Nishaleta viwanja hadi vya laki 8 na hujawahi taka kununua.

mkuu hebu kemea huyo shetani wa BEI usije ukashindwa kununua kiwanja😅
 
Hiyo ni almost acre moja. Ndo iuzwe 160M? Tena usagara?

Au ulimaanisha 16M.
 
Hiyo ni almost acre moja. Ndo iuzwe 160M? Tena usagara?

Au ulimaanisha 16M.
Ulichokisoma ndio uhalisia wenyewe mkuu kawaulize watu wa vituo vya mafuta, ama maeneo ya viwanda huwa wananunua maeneo kwa bei gani
 
Back
Top Bottom