Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Eneo ni salama mkuu usiharibu biashara za watu.Hatari sana
Namaanisha mzigo umesimama. Ila gharama Ndio Hatari. Sqm 1000. Hauna tufanye biasharaEneo ni salama mkuu usiharibu biashara za watu.
Zipo nyingi sana. hilo eneo lingekuwa porini ndani huko lingeuzwa milioni 6 mkuuNamaanisha mzigo umesimama. Ila gharama Ndio Hatari. Sqm 1000. Hauna tufanye biashara
Nishaleta viwanja hadi vya laki 8 na hujawahi taka kununua.
mkuu hebu kemea huyo shetani wa BEI usije ukashindwa kununua kiwanja😅
nisamehe sana mkuu maana jf wote tumevurugwa tu na post nimefutaUsiwe unasimanga wateja wachache mno watakaokutafuta na kujitambulisha Id zao halisi za JF
Unapanic ovyo mkuu
Ahsante kwa taarifa...
Ulichokisoma ndio uhalisia wenyewe mkuu kawaulize watu wa vituo vya mafuta, ama maeneo ya viwanda huwa wananunua maeneo kwa bei ganiHiyo ni almost acre moja. Ndo iuzwe 160M? Tena usagara?
Au ulimaanisha 16M.
Usagara na Igudija wapi pako 🔥🔥🔥🔥nisamehe sana mkuu maana jf wote tumevurugwa tu na post nimefuta
Inategemeana mkuu na nini unataka kuwekeza. Maana hili ni eneo liko barabarani...Usagara na Igudija wapi pako 🔥🔥🔥🔥