USAHIHI: Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali amepangiwa Majukumu mengine na siyo kutumbuliwa. Anaweza kuwa na Majukumu makubwa kuliko ya Awali

Hivi we kilaza kuna kazi inaitwa NYINGINE?
Hakuna ubishi kuondolewa kule alikokuwa na kupangiwa kazi ambayo haijulikani ni kutumbuliwa until kazi atakayopangiwa itakapojulikana.
Sema wewe ndio hujuwi.lakini mamlaka ya uteuzi inafahamu vyema imempatia kazi gani.
 
Napata hisia, Amenda kuchukuwa nafasi ya huyo kijana aliyepelekwa Kuwa Katibu Mkuu Maliasili Bwana Mabula, hicho kitengo hakiwezi kutangazwa public maana ni nyeti.
 
Hiyo barua waandamizi kadhaa wametolewa Ofisi Kuu Mtaa wa Luthuli. Si ajabu bwana msemaji akawa kaelekea pande hizo. Ukizingati anasemekana naye ni jaasosus mkubwa tu.

Bi mkubwa kasafisha hasa waandamizi hapo Ofisi kuu
 
Uko sahihi, Anarudi alipokuwa kabla ya figisu ya Magu
 
Hiyo barua waandamizi kadhaa wametolewa Ofisi Kuu Mtaa wa Luthuli. Si ajabu bwana msemaji akawa kaelekea pande hizo. Ukizingati anasemekana naye ni jaasosus mkubwa tu.

Bi mkubwa kasafisha hasa waandamizi hapo Ofisi kuu
Ni kweli kuna mabadiliko makubwa sana yamefanyika kwa watendaji
 
Mkopo wa korea unawagaragaza watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…