Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Bila shaka bado una vimiminikaSubiri nitulie nikushughulikie vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka bado una vimiminikaSubiri nitulie nikushughulikie vizuri
Unadhani ameandika yeye? yeye katumwa kupost pekeeUnajipa majukumu ambayo sio yako unless uwe umepewa kweli.
Otherwise unajichosha tu.
kiruuu, na huyu wa wapi?Kama
Yanachosha soma threads nyingine
Ahaaa umiss shughuli yangu, basi usitoe sauti hapa nikianzaBila shaka bado una vimiminika
Unasemaje unasema najichosha.Mimi. Nimefanya kazi ya kuwatoeni ukungu vichwani mwenu.Unajipa majukumu ambayo sio yako unless uwe umepewa kweli.
Otherwise unajichosha tu.
Kajipa tu jukumu ambalo sio Lake.Unadhani ameandika yeye? yeye katumwa kupost pekee
Akili yako haunipi shida maana najuwa ukikua utoto utakutoka tu.Ahaaa umiss shughuli yangu, basi usitoe sauti hapa nikianza
Akili yako haunipi shida maana najuwa ukikua utoto utakutoka tu.Ahaaa umiss shughuli yangu, basi usitoe sauti hapa nikianza
Wewe huo uwezo Huna labda uombe msaada wa kutolewa ukungu kichwani mwako.Unasemaje unasema najichosha.Mimi. Nimefanya kazi ya kuwatoeni ukungu vichwani mwenu.
Siyo yeye yeye katumwa kupostKajipa tu jukumu ambalo sio Lake.
Jifanye kiziwiAkili yako haunipi shida maana najuwa ukikua utoto utakutoka tu.
Sema wewe ndio hujuwi.lakini mamlaka ya uteuzi inafahamu vyema imempatia kazi gani.Hivi we kilaza kuna kazi inaitwa NYINGINE?
Hakuna ubishi kuondolewa kule alikokuwa na kupangiwa kazi ambayo haijulikani ni kutumbuliwa until kazi atakayopangiwa itakapojulikana.
Sawa.Siyo yeye yeye katumwa kupost
Napata hisia, Amenda kuchukuwa nafasi ya huyo kijana aliyepelekwa Kuwa Katibu Mkuu Maliasili Bwana Mabula, hicho kitengo hakiwezi kutangazwa public maana ni nyeti.Ndugu zangu watanzania,
Nimeona ni kama kiswahili kimekuwa kigumu kidogo kwetu watanzania japo ndio lugha yetu ya Taifa au huwa tunasoma taarifa kwa juu juu tu,kama kawaida yetu ya baadhi yetu watanzania ya uvivu wa kusoma habari au taarifa kwa umakini na utulivu.
Nimepita baadhi ya maeneo na kwenye kurasa mbalimbali za Mitandao za baadhi ya watu,nimeshangaa wakitumia maneno kuwa aliyekuwa msemaji mkuu wa serikali ametumbuliwa,jambo ambalo siyo kweli .
Ukweli na usahihi ni kuwa taarifa ya ikulu inasema kuwa AMEPANGIWA MAJUKUMU MENGINE,ambapo majukumu hayo bila shaka yatatangazwa muda wowote ule kwa umma, ili umma ujuwe mtumishi wao ni nani katika nafasi fulani.
Na unaweza kuta majukumu hayo mengine mapya yanaweza kuwa makubwa sana kuliko majukumu aliyokuwa nayo Awali. Kwa hiyo tuendelee kuwa na subira na utulivu kusubiri majukumu hayo mapya.
Kuelewa hiki nilichokizungumza basi angalia katika orodha hii ya majina hapo chini uende mpaka namba (IV )uone lugha iliyotumiwa katika taarifa ya Ikulu .View attachment 3018479View attachment 3018479
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tuwe watulivu tu.Napata hisia, Amenda kuchukuwa nafasi ya huyo kijana aliyepelekwa Kuwa Katibu Mkuu Maliasili Bwana Mabula, hicho kitengo hakiwezi kutangazwa public maana ni nyeti.
Uko sahihi, Anarudi alipokuwa kabla ya figisu ya MaguHiyo barua waandamizi kadhaa wametolewa Ofisi Kuu Mtaa wa Luthuli. Si ajabu bwana msemaji akawa kaelekea pande hizo. Ukizingati anasemekana naye ni jaasosus mkubwa tu.
Bi mkubwa kasafisha hasa waandamizi hapo Ofisi kuu
Ni kweli kuna mabadiliko makubwa sana yamefanyika kwa watendajiHiyo barua waandamizi kadhaa wametolewa Ofisi Kuu Mtaa wa Luthuli. Si ajabu bwana msemaji akawa kaelekea pande hizo. Ukizingati anasemekana naye ni jaasosus mkubwa tu.
Bi mkubwa kasafisha hasa waandamizi hapo Ofisi kuu
Mkopo wa korea unawagaragaza watu!Ndugu zangu watanzania,