Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Siku ya kuapishwa Trump alitangaza uwepo wa gender mbili tu, yaani mwanaume na mwanamke. Suala hili lilitafsiriwa kama Trump anapinga mapenzi ya jinsia moja hali iliyomfanya apate umaarufu kwa wanaopinga mapenzi hayo.
Hata hivyo, masuala ya jisnia bado hayaeleweki sana kwa waafrika ambapo wakisikia LGBTQIA+ wanadhani ni ushoga ilihali kuna mambo mengi ndani ya concept hiyo. Mathalan, mtoto wa marekani alikuwa anaruhusiwa kumeza vidonge kuzuia baleghe (Hormone blockers), au hata kufanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia yake "Transexual"
Anachokipinga Trump ni hili jambo la watoto kuruhusiwa kubadili jinsia zao jambo ambalo ni permanent, yaani ni ngumu mtu kurudi alivyokuwa awali. Tofauti na kesi kama za kina Aggrey ambaye alipoamua kuacha ni rahisi kwake kudeal na "social traits" za kike alizonazo. Angalia Gender zilizokuwepo hadi sasa.
Januari 31, 2025 Trump amewatoa amri ya waajiri wa serikali(Federal) kuondoa pronouns kwenye signature za emails zao, ikiwa ni namna yao ya kuachana na DEI. Na neno LGBTQIA+ ltabaki kuwa LGB kwa maana ya Lesbians, Gays and Bisexuals, zile mambo nyingine hazipo.
Wakati unakaa kufurahia sera za Trump jua ukomo wa sera zake.