USAHIHI: Anachotaka Trump ni kutoka LGBTQIA+ hadi LGB

USAHIHI: Anachotaka Trump ni kutoka LGBTQIA+ hadi LGB

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Siku ya kuapishwa Trump alitangaza uwepo wa gender mbili tu, yaani mwanaume na mwanamke. Suala hili lilitafsiriwa kama Trump anapinga mapenzi ya jinsia moja hali iliyomfanya apate umaarufu kwa wanaopinga mapenzi hayo.

Hata hivyo, masuala ya jisnia bado hayaeleweki sana kwa waafrika ambapo wakisikia LGBTQIA+ wanadhani ni ushoga ilihali kuna mambo mengi ndani ya concept hiyo. Mathalan, mtoto wa marekani alikuwa anaruhusiwa kumeza vidonge kuzuia baleghe (Hormone blockers), au hata kufanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia yake "Transexual"

Anachokipinga Trump ni hili jambo la watoto kuruhusiwa kubadili jinsia zao jambo ambalo ni permanent, yaani ni ngumu mtu kurudi alivyokuwa awali. Tofauti na kesi kama za kina Aggrey ambaye alipoamua kuacha ni rahisi kwake kudeal na "social traits" za kike alizonazo. Angalia Gender zilizokuwepo hadi sasa.
1738532645188.jpeg

Januari 31, 2025 Trump amewatoa amri ya waajiri wa serikali(Federal) kuondoa pronouns kwenye signature za emails zao, ikiwa ni namna yao ya kuachana na DEI. Na neno LGBTQIA+ ltabaki kuwa LGB kwa maana ya Lesbians, Gays and Bisexuals, zile mambo nyingine hazipo.

Wakati unakaa kufurahia sera za Trump jua ukomo wa sera zake.

1738533884325.png
 
Trump hakupinga ushoga na hawezi thubutu, alizungumzia gender, kuna muda ulifika mitandao ya kijamii ukiwa una sign up ukiulizwa gender ina list gender kama male, female halafu other... hapo kwenye other ndipo kuna hao trans...

Shoga kama ni male ni male tu, kama ni female ni female, ushoga ni sexual orientation not gender.
Trump hana huo uwezo kupinga ushoga.
Nguvu waliyonayo hao mashetani ni kubwa, Trump hana uwezo kuwapinga, Pope menyewe wa RC kanyoosha mikono.
 
naam! Hii kitu umeielewa kwa uzuri
 
Back
Top Bottom