Cabinet- Kwa nini ni Baraza la Mawaziri na sio Baraza la taifa la uongozi wa nchi?
Ministry of Finance- Kwa nini inaitwa Wizara ya Fedha badala ya Wizara ya hazina kuu ya kitaifa?
Secretary of State(US)- Kwa nini media huwa zinamuita Waziri wa mambo ya nje badala ya Katibu wa taifa wa mambo ya nje?