Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usahihi wake ni kwamba hakidanganyi na hakijawahi kudanganya mwenye pingamizi alilete hapa
Ni kweli mkuu nivea, kipimo cha HCG kipimo kinaweza kuonyesha NEGATIVE iwapo mpimaji atapima mapema sana sababu ikiwa wakati huo hicho kichoche cha Human Chorionic Gonadotrophin kinakuwa hakijaanza kutolewa kwa wingi ili kuewza kubainika kwenye mkojo.... hapo ndipo inashindwa kusoma na kuonekana NEGATIVE ila unashauri kusubiri wiki moja hadi mbili na kupima tena ila kama una hitaji kujua haraka basi unashauriwa kwenda hospitali amabpo watapima kipimo hicho cha HCG kwenye damu kwani huko huanza kuonekana mapema zaidi ya kwenye mkojo
afrodenzi hapo wiki moja nilimaanisha kuna wengine wanatest mapema after 7 days so akiongeza another week itakuwa 14 days na wiki 2 ni siku 14 thata is the good time to test, vipi mzima wewe shosti?hapo uliposema wiki moja au mbili..
to be more specific is exactly 14 days.
Haita onyesha before 14 days .
Nimependa sana comment yako lakini .
afrodenzi hapo wiki moja nilimaanisha kuna wengine wanatest mapema after 7 days so akiongeza another week itakuwa 14 days na wiki 2 ni siku 14 thata is the good time to test, vipi mzima wewe shosti?
Oohhh okay .
Nimekupata sasa .
Mi mzima kabisa .asante kwa kuuliza.
Vipi we waendeleaje ?
Shwari mungu anasaidia pilika za maisha tu ndugu,