Usahihi wa mwonekano wa dunia toka juu ya anga za mbali

Mmemjibu vyema. Ni kama huwezi kujua kama upo kwenye mwinuko mkubwa hadi uangalie sehemu ambayo sio mwinuko. So ukiwa duniani huwez experience huo ukubwa na hiyo shape
 
MKUU KENZY nikushukuu sana kwa kutumia logical rahisi ya mimi kuelewa,kwani suala hili lilikuwa changamoto sana kwangu kuweza kujua uhalisia hasa wa hili jambo
Somo la geography lilikupita pembeni... kwenye ile seheme ya justification why the earth is spherical... i. Satellite pictures ii. Days and night (dunia ingekuwa flat basi kusingekuwa na uwezekano upande mmoja ukawa giza na mwingine ukawa na mwanga na vile vile kungekuwa na edge... iii. Muonekano wa meli bahari, meli inaanza kuonekana sehemu ya juu kidogo kidogo kabla ya kuonekana yote. N.k
 
wakuu naomba mrejee swali lake jingine, kwa nini sayari zote zipo duara ?
 
mkuu muelimishe kwa upeo wake !
 
wakuu naomba mrejee swali lake jingine, kwa nini sayari zote zipo duara ?
Inverse square law.... inasababishwa na kubalance kwa nguvu ya mvutano (resultant gravitation) ambayo inavuta katika directions zote equally na hivyo kusababisha spherical shape.
 
ukikaa hapa kwetu ndo utajua kweli dunia tufe[emoji125]
maana mliman naona posta ,mbagala kkoo segerea udsm rombo bonyokwa
 
Ukifuatilia michango ya wote waliochangia humu ndani kuanzia na mtoa mada, unaweza ukapinga ile tafiti ya 4:1, na ukasema hakuna kitu cha namna hiyo, wote wazima wa afya ya akili.
Hongereni sana wachangiaji.
 
Inverse square law.... inasababishwa na kubalance kwa nguvu ya mvutano (resultant gravitation) ambayo inavuta katika directions zote equally na hivyo kusababisha spherical shape.
shukran mkuu
 
MKUU UNGEFAFANUA KWA KINA KIDOGO MAANA UMENIACHA SOLEMBA HAPO,NAKUOMBA TAFADHALI
 
Si inakumbuka newton law of gravitation... hii inafall kwenye hiyo inverse square law... law hii inastate kwamba intensity ya an effect hubadilika kutokana in inversely proportional to the square of the distance kutoka kwenye chanzo. Kwa maana hiyo an object of bigger mass... ina uwezo wa kupull other mass but small object kama vile asteroid zenyewe zina tiny gravitational ambayo haiwezi kuleta hiyo effect... wanasayansi wanaamini an object yenye size ya 1000km and above ina uwezo wa kupull other mass in it na hivyo kucreate most efficient shape ambayo ni sphere.
 
mkuu kiukweli bado sijapata darasa hapa,yani kifupi mimi sio kama nimesoma saa kivile ,so sijawahi hata sikia hiyo newton law sijui ,then landa nikuombe tu na kwa faida ya wengi humu kama mimi ungetumia zaidi lugah ya nyerere kuliko kuchanganya na hiyo lugha ya trump,bado nakuomba sana mkuu usiniachie hapa natamani sana kujua toka kwako
 
Binadamu katika dunia ni kama sisimizi ndogo katika bustani kubwa au katika mwamba mkubwa.
Kama ambavyo sisimizi asivyojua kuwa anayo sumaku ya kumfanya atembee upside down ndivyo ilivyo kwa binadamu asivyo feel the shape of what he/she belong to .
Ni gharama kubwa kuchunguza the infinite of the .

Ili binadamu aweze kufahamu siri ya mahali alipo ni lazima macho yake yachukue nafasi ya masikio (bird living theories) ie ajibadishe kuwa ndege arukae angani na kuona vitu katika 360 degrees, vinginevyo hatowezekana kufahamu siri ya uumbaji wa dunia ili hali macho yanaona only 180 degrees.
 
Back
Top Bottom