Usahihishaji wa Somo la History, nashindwa kuelewa

Usahihishaji wa Somo la History, nashindwa kuelewa

Mpingapumba

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
33
Reaction score
4
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano ninaejishughulisha na mchepuo wa HGL. Kwa kawaida geography huwa ninascore 60-90, english 60-85 wakati historia huwa ninascore 67 kushuka chini mpaka leo nimescore 30%.

Kkila mwalimu anaekuja anakuja na msimamo yake katika usahihishaji(no uniformity) ambapo kila mmoja anadai mfumo anaotumia ndio wa NECTA hivyo ombi langu kwa wanajamvi ni kwamba;

Kwa yeyote anaetaka kunisaidia anifahamishe kuhusu mgawanyo wa maksi katika kila point, introduction, na conclusion kulingana na taratibu za kitaifa.

Kwa kuongezea graphology ya kila paragraph niiweke vipi...? Je, nikitoka point nifuate mfano kisha maelezo au maelezo kwanza?

Je ni kipi kinamaksi?
 
Okay. .ni hivi maswali mengi ya Necta siku hizi yana indicate a number of points to write. ..mostly ni 6 points. .wasipokuandijia point ngapi wewe andika point kwa kadri uwezavyo introduction ni 2 marks conclusion nayo ni 2 16 ni main body
 
Andika point,

Kisha mfano, baadae maelezo. Kwani wasahihishaji wengi ni wavivu kusoma maelezo ,ukitaka mfano uweke ndani ya maelezo anaweza kushindwa kuuona.

Matokeo yake unapata alama kidogo, anachukulia kwamba hujaandika mfano.

Ni hayo tu mwanajamvi.
 
Nimefurahi kukutana na swala ambalo huwa nalisistiza sana kwa wanafunzi wangu wa History kwa kua ni mbinu ambayo mwalimu Wang pale Mwembetogw alinifundisha na ikanisaidia kufaulu History.

Fuata kanuni ya PPEC yaani ktk main body toa POINT, then PROVE point uliyotoa i.e clarification, then EXAMPLE, mfano ushabiiane na point uliyoitoa halafu malizia kwa Conclusion ndg katika aya uliyopo, Fanya hivyo kila aya.

Au fuata PEPc, point, example, prove, conclude. kwa Advance toa points 9/10 nje ya introd na conclusion. ukibanwa sn ishia point nane. Nadhani somo limeeleweka
 
Safi sana!
 
Ni kweli kwenye history kila mwlim ana usahihishaji wake bt kuna njia ukizifata hakuna mwlim atakae kukata ww andika point den itolee mfano den ielezee kulingana na swali lilivouliza hapo hatoki mtu.
 
Nijuavyo mimi, Kuhusu point ngapi, siku hizi kunakuwa na maelezo kabisaa kuwa weka point kadhaa. Na siyo kila swali linakuwa na point zinazolingana. Huwezi kusema kila swali weka point nane kwa sababu hiyo idadi ni kubwa kwa maswali mengine.

Ninachofahamu, ukiweka point nyingi zaidi ya ulizoelekezwa kutakuwa na hasara kwa sababu hujazingatia Instructions. Msahihishaji anaweza ku-mark zile point za mwanzo kwa mtiririko zinazohitajika alafu nyingine zinakatwa.

Sasa hasara ni pale points ulizozitanguliza zilikuwa weak na hivyo zimepewa marks ndogo, zile strong may be uliziweka mwishoni, zimekatwa. sasa unategemea nini?

Jibu maswali kadiri ya maelekezo yanavyotaka
 
Kwa Advance huwa hakuna instruction ya kua ishia points kadhaa. kwa olevel hua inatokea for some extent. ss ukikuta swali ambalo hujabanwa basi jitahid ufunguke zaid cz ktk History tunahitaji hoja nyingi tofauti na zenye maelezo mengi, mifano ya kutosha na ya kweli. mfano; Before the coming of whites , African societies was classless, underdeveloped and ever changing.

Discuss: hapa sitarajii A level student anipe less than 12 points in social, economic, political, cultural and technical level. ukitoa hoja tatu tatu kila kundi utajikuta hupotez marks kizembe.

History is all about points, clarifications, examples and sum up.
 
nimefurahi kukutana na swala ambalo huwa nalisistiza sana kwa wanafunzi wangu wa History kwa kua ni mbinu ambayo mwalimu Wang pale Mwembetogw alinifundisha na ikanisaidia kufaulu History.

Fuata kanuni ya PPEC yaani ktk main body toa POINT, then PROVE point uliyotoa i.e clarification, then EXAMPLE, mfano ushabiiane na point uliyoitoa halafu malizia kwa Conclusion ndg katika aya uliyopo, Fanya hivyo kila aya.

Au fuata PEPc, point, example, prove, conclude. kwa Advance toa points 9/10 nje ya introd na conclusion. ukibanwa sn ishia point nane. Nadhani somo limeeleweka

Sasa mkuu, kijana inabid aelekezwe japo kwa mfano namna ya kuiandika hiyo point yake ktk aya.

eg 1 . Depopulation, Depopulation:- then ufafanuz wa poverty relating question ufuatie..
AU
Point ije ktk maelezo

eg 2. Depopulation is one of the the impacts of majimaji war due to the facts that many africans and germany mercenaries were killed that was estmated to be.........

Tatizo letu lipo ktk misingi ya essay coz hatufundishwi essay alafu tunakuwa walimu, mwisho wake tunasahihisha kwa mapungufu makubwa mno kwa kisingizio kuwa necta hawana muda wa kusoma maelezo...
 
kwa Advance huwa hakuna instruction ya kua ishia points kadhaa. kwa olevel hua inatokea for some extent. ss ukikuta swali ambalo hujabanwa basi jitahid ufunguke zaid cz ktk History tunahitaji hoja nyingi tofauti na zenye maelezo mengi, mifano ya kutosha na ya kweli.

Mfano: Before the coming of whites , African societies was classless, underdeveloped and ever changing. Discuss; hapa sitarajii A level student anipe less than 12 points in social, economic, political, cultural and technical level.

Ukitoa hoja tatu tatu kila kundi utajikuta hupotez marks kizembe. History is all about points, clarifications, examples and sum up.

Mitihani ya siku hizi wanalimit tena mara nyingi ni point 6.
 
introduction:3marks
main body :15marks .1@3marks
conclusion: 2marks
overall 20...marks
 
Hama nenda pcm kule hakuna ubabaishaji hata 99% utapata
 
Sasa mkuu, kijana inabid aelekezwe japo kwa mfano namna ya kuiandika hiyo point yake ktk aya.

eg 1 . Depopulation, Depopulation:- then ufafanuz wa poverty relating question ufuatie..
AU
Point ije ktk maelezo

eg 2. Depopulation is one of the the impacts of majimaji war due to the facts that many africans and germany mercenaries were killed that was estmated to be.........

Tatizo letu lipo ktk misingi ya essay coz hatufundishwi essay alafu tunakuwa walimu, mwisho wake tunasahihisha kwa mapungufu makubwa mno kwa kisingizio kuwa necta hawana muda wa kusoma maelezo...

mkuu hapo kwenye maelezo ya mfano wako wa depopulation huna haja ya kusema 'depopulation is one of the impact of majimaji war due to...'. Wewe umeshaambiwa andika impact so tunaimani point zote za kwenye essay yako ni impact kwahiyo huna haja ya kueleza kuwa hiyo ni moja ya impact.

Wanafunzi wengi wanaandika maelezo mengi yasiyohitajika kitu kinachowaboa wasahishaji kwani maelezo hayavutii. Unapaswa kuwa economical wa maelezo nenda direct kwenye hoja then toa concrete example. Unaweza ukaandika 3 to 4 sentences na point yako ikaeleweka!

Km umewahi kusahisha mitihani kuna wanafunzi unakuta paragraph nzima tena ndefu kwelikweli lkn imeundwa kwa sentensi moja. Hili nalo ni tatizo ktk uandishi wa essay!

Pia kinachowafanya wanafunzi wapate hizo namba za viatu ni papara unakuta introduction ipo shallow, main body imejaa sentensi ambazo hazina uwiano na conclusion ndio ugonjwa wa taifa.
 
Nimefurahi kukutana na swala ambalo huwa nalisistiza sana kwa wanafunzi wangu wa History kwa kua ni mbinu ambayo mwalimu Wang pale Mwembetogw alinifundisha na ikanisaidia kufaulu History.

Fuata kanuni ya PPEC yaani ktk main body toa POINT, then PROVE point uliyotoa i.e clarification, then EXAMPLE, mfano ushabiiane na point uliyoitoa halafu malizia kwa Conclusion ndg katika aya uliyopo, Fanya hivyo kila aya.

Au fuata PEPc, point, example, prove, conclude. kwa Advance toa points 9/10 nje ya introd na conclusion. ukibanwa sn ishia point nane. Nadhani somo limeeleweka

Samahan hapo kwenye PPEC ni kweny mainbody pia?
 
Sina nia mbaya, ila huwa najiuliza, hivi history inasaidia nini?
 
Sina nia mbaya, ila huwa najiuliza, hivi history inasaidia nini?

The answer is that History is
inescapable. It studies the past and the
legacies of the past in the present. Far from
being a 'dead' subject, it connects things
through time and encourages its students to
take a long view of such connections.
All people and peoples are living histories. To
take a few obvious examples: communities
speak languages that are inherited from the
past. They live in societies with complex
cultures, traditions and religions that have not
been created on the spur of the moment.
People use technologies that they have not
themselves invented. And each individual is
born with a personal variant of an inherited
genetic template, known as the genome, which
has evolved during the entire life-span of the
human species.
So understanding the linkages between past
and present is absolutely basic for a good
understanding of the condition of being
human. That, in a nutshell, is why History
matters. It is not just 'useful', it is essential.
The study of the past is essential for 'rooting'
people in time. And why should that matter?
The answer is that people who feel themselves
to be rootless live rootless lives, often causing
a lot of damage to themselves and others in
the process. Indeed, at the most extreme end
of the out-of-history spectrum, those
individuals with the distressing experience of
complete memory loss cannot manage on
their own at all. In fact, all people have a full
historical context. But some, generally for
reasons that are no fault of their own, grow up
with a weak or troubled sense of their own
placing, whether within their families or within
the wider world. They lack a sense of roots.
For others, by contrast, the inherited legacy
may even be too powerful and outright
oppressive.
In all cases, understanding History is integral
to a good understanding of the condition of
being human. That allows people to build,
and, as may well be necessary, also to change,
upon a secure foundation. Neither of these
options can be undertaken well without
understanding the context and starting points.
All living people live in the here-and-now but
it took a long unfolding history to get
everything to NOW. And that history is located
in time-space, which holds this cosmos
together, and which frames both the past and
the present.
 
Back
Top Bottom