Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usahili, Usaili na Udahili. Ninapata shida kujua neno sahihi ni lipi na litumike wakati gani. Sijui kuhusu Usahili, lakini nadhani Usaili ni "Interview" na Udahili, hasa linapotumika kwa Wanachuo Watarajiwa, ni "Registration"
Nitashukuru kuelimishwa!
naomba contact mkuuUkiachana na ada ya kozi
yako ambayo utalipia asilimia 60 yake gharama zilizobakia ni
250000....kwahiyo kwa mfano mie banking and finance nalipia
1150000..