Usahili IFM..

Usahili IFM..

Glisten

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
301
Reaction score
22
Kwa mnao2tangulia kwenye usahili Institute of Finance Management .'IFM'.mtujuze hasa ni nini kinahitajika wakati huu wa usahili Tafadhali..
Nawasilisha Wakuu..
 
Usahili, Usaili na Udahili. Ninapata shida kujua neno sahihi ni lipi na litumike wakati gani. Sijui kuhusu Usahili, lakini nadhani Usaili ni "Interview" na Udahili, hasa linapotumika kwa Wanachuo Watarajiwa, ni "Registration"

Nitashukuru kuelimishwa!
 
your right
 
Ukiachana na ada ya kozi yako ambayo utalipia asilimia 60 yake gharama zilizobakia ni 250000....kwahiyo kwa mfano mie banking and finance nalipia 1150000..
 
Back
Top Bottom