Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukihisi na kichinachina uje unambie mwaego!
nilihisi tu hili neno aliko sawa.Asante ndugu makole!
Mpaka dakika hii umechemka usaili.Hapo kwenye red.nilihisi tu hili neno aliko sawa.Asante ndugu makole!
hawa watu wa utumishi naona wameelemewa na majukumu waundiwe tume ,haiwezekani mtu aombe kazi mwezi wa sita asibiri usaili,tena sio kuitwa kazini mwisho wa mwaka aah
lakini muwe na subira.
Labda wataita watu kwenda kuripoti vituo vyao vya kazi, usaili ni huu uvumilivu.