Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Habari za muda huu wapendwa, poleni na majukumu mbalimbali katika kulijenga taifa letu.
Lengo la uzi huu ni kujuzana ni maswali ya namna gani yanaulizwa katika interviews za tutorial assistant kwa sekta ya Elimu.
Kama ulishawahi kufanya interview utumishi na ukafaulu au vinginevyo basi tupeane ujuzi jinsi ya kujibu maswali ya written na oral interview.
Si mbaya hata kama tutapeana updates za nafasi za kazi zinapotoka na mengineyo.
Watu wangu wa BED ECE, BED PSY, ADULT EDUCATION, BED ICT, POLICY STUDIES, BED ADMAN n.k njooni tupeane ujuzi huku.