Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine pia hawako interested kufundishafundisha hata kama Yuko na GPA kubwa kwa vyeti vyakeSema hizi nafasi hazina watu wengi
Yah inaweza pia kuwa sababu...but kwa hali ilivyo sasa ya ajira.....Wengine pia hawako interested kufundishafundisha hata kama Yuko na GPA kubwa kwa vyeti vyake
Nashukuru ndugu, tunapambana now katika utumishi wa ummaMkuu tupe hints ulifanikiwa
Mkuu nisaidie dondoo za interview za TA education psychology huwa wanatoajeNashukuru ndugu, tunapambana now katika utumishi wa umma
SawaMkuu nisaidie dondoo za interview za TA education psychology huwa wanatoaje
Ahsante mkuu na vipi kwenye presentation wanatumia pointerSawa
Nadhani utaratibu ni ule ule kama post nyengine.
Kwakua hii ni teaching post basi utafanya mtihani wa kwanza wa kuandika na interview ya pili itakuwa ni oral.
Kwenye interview ya kwanza ya kuandika (mchujo), baadhi ya taasisi hutoa mtihani unaofanana na format ya UE Kabisa, hivyo unaweza ukaufanya Kwa saa 2, 2½ au saa 3.
Kuna baadhi ya taasisi utafanya ule mtihani wa kiutumishi ambapo utapewa maswali manne, then utayajibu ndani ya saa Moja. Hapa inabidi uwe na speed ya kutosha.
Ama katika oral, kwanza utandaa presentation ndani ya saa moja, then utapresent ulichokiandaa Kwa dakika 5 au 10 na Kisha kuulizwa maswali kadhaa kutokana na ulichokipresent au kuhusu field Yako unayofanyia interview.
Katika psychology, komaa sana na educational psychology, Yale mambo ya learning theories, wapitie sana wakina Skinner, Pavlov, Brunner, Piaget n.k soma pia special and inclusive education. Kiufupi ujue field Kwa ujumla utafanikiwa.
Unaweza kuandaa presentation Kwa kuandaa slides kwenye computer na kupresent Kwa PowerPoint au unaweza andaa presentation Yako kwenye karatasi tu. Hii ya kwenye karatasi mara nyingi hufanyika kama computer facilities ni chacheAhsante mkuu na vipi kwenye presentation wanatumia pointer
Mkuu Mungu akubariki sana umenipa muangaza acha namimi nimuombe aliye juuUnaweza kuandaa presentation Kwa kuandaa slides kwenye computer na kupresent Kwa PowerPoint au unaweza andaa presentation Yako kwenye karatasi tu. Hii ya kwenye karatasi mara nyingi hufanyika kama computer facilities ni chache
Habari za midaa hii nimepata kitu hapa cha kujifunza na vipi Kwenye upande wa Science Teaching interview hizi za Secondary zikojeSawa